Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 1,081
- 1,044
Hivi huyu jamaa hua anatafuta nini? Au naye ni mtekaji? Au ni shetani? Yaani mpaka mauaji ya polisi dhidi ya raia anayafurahia!Utaahira mtupu
Hivi huyu jamaa hua anatafuta nini? Au naye ni mtekaji? Au ni shetani? Yaani mpaka mauaji ya polisi dhidi ya raia anayafurahia!Utaahira mtupu
Huna akili wewe.Hiyo Damu unayo Wewe
Anayo yeye aliyeimwaga kwa watu wasio na hatia. Nikwambie kitu, ipo siku yaja yenye uchungu mkali ambao watesi watatamani hata sekunde moja wasikie sauti ya watu wao na hawatoipata..!! TUNZA HIIHiyo Damu unayo Wewe
Huyo mamako mwenyew hana adabu kwa watz, analazimisha kutawala raia ambao hawajampigia kura!Uwe na adabu.
Wewe mbona yako haijamwagikaAnayo yeye aliyeimwaga kwa watu wasio na hatia. Nikwambie kitu, ipo siku yaja yenye uchungu mkali ambao watesi watatamani hata sekunde moja wasikie sauti ya watu wao na hawatoipata..!! TUNZA HII
Rais Samia anakubalika sana kwa watanzania na ndio sababu ya kupata ushindi mnono wa 98%Huyo mamako mwenyew hana adabu kwa watz, analazimisha kutawala raia ambao hawajampigia kura!
Kwann alienda kuapishiwa maporini tofauti na marais wengine waliopita, aliogopa nn wakati kapata kura ml 32?!.
Ukitoka kunyonya marungu huko lumumba ndio unakuja kututapikia hapa shwain kabisa weweUwe na adabu
Wewe endelea kukazwa na veggies ila omba usijichanganye ukakazwa na wananchiWewe mbona yako haijamwagika
Wauaji nyie hamkushinda pamoja na kuwa mlikuwa peke yenu, mlijijazia kura mbwa nyie, Wapumbavu ninyi, na wewe mwashambwa acha kulamba matakuu ya huyo mama yenu Yezebali, muuaji wa watanganyika. Mmeambiwa haukuwa uchaguzi ule.....SADC wamewaambia wazi kuwa ule haukuwa uchaguzi, AU wameawaambia ule haukuwa uchaguzi, EAC community wameawaambia kuwa ule haukuwa uchaguzi, European union wamesema ule siyo uchaguzi, USA wamewaambia kuwa haukuwa uchaguzi bali uhuni, na sisi wananchi wa Tanzania na wananchi wa dunia nzima tumesema ule haukuwa uchaguzi. Mbona mnakazania kubadilisha uongo kuwa kweli, mkataliwa kote duniani na mbinguni wapumbavu ninyi. Mnajipa moyo tu....Eti Jemedari, jemedari gani anayeua wananchi wake. She's smelling like a fish.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa mafanikio makubwa sana kikao maalumu cha kamati kuu. Ambapo kikao hicho kimejadili masuala mbalimbali hususani yahusuyo hali ya kisiasa na matukio yake kabla ,wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu ulioshuhudiwa CCM ikiibuka kidedea na kupata ushindi wa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima katika nafasi zote za uongozi kuanzia Udiwani ,Ubunge pamoja na Urais.
Embu Soma Barua hii ya CCM
Ambapo katika masuala mbalimbali yaliyojadiliwa imetolewa pia adhimio la CCM kuweza kujitathmini na kujipanga vyema kubeba vyema jukumu la kuliongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kuanzia sasa mpaka watu hawana tena imani na nyie na hii ndio mbaya sanaNdugu zangu Watanzania,

Qmmk!Rais Samia anakubalika sana kwa watanzania na ndio sababu ya kupata ushindi mnono wa 98%
Acha matusi hapa kama kichaa au mwendawazimuQmmk!
Huo ndio ukweli. Kabla ya kuwa makamu wa Rais alishawahi kuvuka Dar na kufika hata Iringa, Singida, Lindi.Acha mawazo na utumwa wa kifikra