Hawezi pata usingizi huyo keshaiharibu dunia yake.Uwe na adabu.
Acha mawazo na utumwa wa kifikraHapo hakuna hata Mtanganyika anayeweza kubisha au kutoa ushauri.
Wewe mbwa luka nakutamani sanaNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa mafanikio makubwa sana kikao maalumu cha kamati kuu. Ambapo kikao hicho kimejadili masuala mbalimbali hususani yahusuyo hali ya kisiasa na matukio yake kabla ,wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu ulioshuhudiwa CCM ikiibuka kidedea na kupata ushindi wa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima katika nafasi zote za uongozi kuanzia Udiwani ,Ubunge pamoja na Urais.
Embu Soma Barua hii ya CCMView attachment 3497705
Ambapo katika masuala mbalimbali yaliyojadiliwa imetolewa pia adhimio la CCM kuweza kujitathmini na kujipanga vyema kubeba vyema jukumu la kuliongoza Taifa letu.View attachment 3497706View attachment 3497707View attachment 3497708View attachment 3497709View attachment 3497710
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Utakufa vibaya sanaWewe mbwa luka nakutamani sana
Kifo ni kifo tu au hujamsikia dhalim Samuya?Utakufa vibaya sana
Ndugu zangu Watanzania,

Chama kijitathmini otherwise mwisho wake hauko mbaliNdugu zangu Watanzania,

Utateketezwa wewe na ujinga wakoIna maana mungu yeye hapatwi na hasira km mm mbona maandiko yanasema alituumba kwa mfano wake? tekeketeza hao nyau wote apo nipumie kwa raha
Uwe na adabunaona kilinge cha wachawi wakipanga namna kuwamaliza watanganyika
Labda wewe ndio mwisho wako umefikaChama kijitathmini otherwise mwisho wake hauko mbali
Kaa kwa kutulia utafurahi Mwenyewe.Vipi kuhusu hali ya siasa nchini baada ya uchaguzi. CCM imejipangaje kufanya siasa za uwazi pamoja na vyama vya siasa, itakuwa tayari kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ili wananchi wafurahie demokrasia hiyo?
SawaUtateketezwa wewe na ujinga wako
Hiyo Damu unayo WeweKiti cha damu hatokaa kwa amani