Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Embu tuliza kichwa na acha mihemko .Hakuna kitu kinaweza kutuponya kwa sasa bora wakae kimwa tu , ukisoma Hilo gazeti lao ni hasira tu inapanda kifuani
Uwe na adabu.Sura ya huyo Mama inaeleza mengi sana
Unamuona yuko sawa hapo?Uwe na adabu.
Sikuzote tumbo haliwezi kufikiriaEmbu tuliza kichwa na acha mihemko .
Ndio yupo sawa kabisa akiwa na umakini na utulivu wa hali ya juu sana.Unamuona yuko sawa hapo?
Kwa hizi picha za mauji tu ukiacha video za wizi wa kura, zinatosha kabisa kumyima raha binadamu yoyote mwenye utu.Mama hana furaha. Amin naambia Mama hana furaha
Utaahira mtupuNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa mafanikio makubwa sana kikao maalumu cha kamati kuu. Ambapo kikao hicho kimejadili masuala mbalimbali hususani yahusuyo hali ya kisiasa na matukio yake kabla ,wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu ulioshuhudiwa CCM ikiibuka kidedea na kupata ushindi wa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima katika nafasi zote za uongozi kuanzia Udiwani ,Ubunge pamoja na Urais.
Embu Soma Barua hii ya CCMView attachment 3497705
Ambapo katika masuala mbalimbali yaliyojadiliwa imetolewa pia adhimio la CCM kuweza kujitathmini na kujipanga vyema kubeba vyema jukumu la kuliongoza Taifa letu.View attachment 3497706View attachment 3497707View attachment 3497708View attachment 3497709View attachment 3497710
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naona mapicha ya mashetani tu huku yakiwa na masikio marefu kama huyu shetani hapa 👹Ndugu zangu Watanzania,

Jitahidi kutumia hekima na busara katika kujadili mambo. Uwe unafikiri kabla ya kuandika kitu.Naona mapicha ya mashetani tu huku yakiwa na masikio marefu kama huyu shetani hapa 👹
Ndiyo yanapanga tena namna ya kuua watu, au?
Siku akili zikipanda kichwani kutoka tumboni ziliko sasa, utajiona ulikuwa ni mjinga sana kwa kutetea watu waovu na mashetani kwenye jamii.Jitahidi kutumia hekima na busara katika kujadili mambo. Uwe unafikiri kabla ya kuandika kitu.
Wanakumbuka shuka wakati kumeshakucha!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa mafanikio makubwa sana kikao maalumu cha kamati kuu. Ambapo kikao hicho kimejadili masuala mbalimbali hususani yahusuyo hali ya kisiasa na matukio yake kabla ,wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu ulioshuhudiwa CCM ikiibuka kidedea na kupata ushindi wa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima katika nafasi zote za uongozi kuanzia Udiwani ,Ubunge pamoja na Urais.
Embu Soma Barua hii ya CCMView attachment 3497705
Ambapo katika masuala mbalimbali yaliyojadiliwa imetolewa pia adhimio la CCM kuweza kujitathmini na kujipanga vyema kubeba vyema jukumu la kuliongoza Taifa letu.View attachment 3497706View attachment 3497707View attachment 3497708View attachment 3497709View attachment 3497710
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas hiyo hekima ungewashauri hao viongozi wako ... Hata wangetoa pole kwa wafiwa ila wamepiga kimya na mikwara juu hiyo kwako ni adabu au huko mnafundishana kuua watu.Jitahidi kutumia hekima na busara katika kujadili mambo. Uwe unafikiri kabla ya kuandika kitu.
CCM ni chama cha amani na siku zote tunahuburi AmaniLucas hiyo hekima ungewashauri hao viongozi wako ... Hata wangetoa pole kwa wafiwa ila wamepiga kimya na mikwara juu hiyo kwako ni adabu au huko mnafundishana kuua watu.