Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

Hapo hakuna hata Mtanganyika anayeweza kubisha au kutoa ushauri.
 
Wewe mbwa luka nakutamani sana
 
Ina maana mungu yeye hapatwi na hasira km mm mbona maandiko yanasema alituumba kwa mfano wake? tekeketeza hao nyau wote apo nipumie kwa raha
 

Stupid
 
Vipi kuhusu hali ya siasa nchini baada ya uchaguzi. CCM imejipangaje kufanya siasa za uwazi pamoja na vyama vya siasa, itakuwa tayari kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ili wananchi wafurahie demokrasia hiyo?
 

Mafuasi ya ibilisi yamekutana kupongezana kwa damu walizozinywa. Mungu Baba mkuu, tunaomba uwaokoe watu wako kutoka kwenye kundi hili la ibilisi linalowaua watanganyika kila leo.
 
Chama kijitathmini otherwise mwisho wake hauko mbali
 
Vipi kuhusu hali ya siasa nchini baada ya uchaguzi. CCM imejipangaje kufanya siasa za uwazi pamoja na vyama vya siasa, itakuwa tayari kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa ili wananchi wafurahie demokrasia hiyo?
Kaa kwa kutulia utafurahi Mwenyewe.
 
Kiti cha damu hatokaa kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…