Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

Hiyo Damu unayo Wewe
Anayo yeye aliyeimwaga kwa watu wasio na hatia. Nikwambie kitu, ipo siku yaja yenye uchungu mkali ambao watesi watatamani hata sekunde moja wasikie sauti ya watu wao na hawatoipata..!! TUNZA HII
 
Uwe na adabu.
Huyo mamako mwenyew hana adabu kwa watz, analazimisha kutawala raia ambao hawajampigia kura!
Kwann alienda kuapishiwa maporini tofauti na marais wengine waliopita, aliogopa nn wakati kapata kura ml 32?!.
 
Anayo yeye aliyeimwaga kwa watu wasio na hatia. Nikwambie kitu, ipo siku yaja yenye uchungu mkali ambao watesi watatamani hata sekunde moja wasikie sauti ya watu wao na hawatoipata..!! TUNZA HII
Wewe mbona yako haijamwagika
 
Huyo mamako mwenyew hana adabu kwa watz, analazimisha kutawala raia ambao hawajampigia kura!
Kwann alienda kuapishiwa maporini tofauti na marais wengine waliopita, aliogopa nn wakati kapata kura ml 32?!.
Rais Samia anakubalika sana kwa watanzania na ndio sababu ya kupata ushindi mnono wa 98%
 
Wauaji nyie hamkushinda pamoja na kuwa mlikuwa peke yenu, mlijijazia kura mbwa nyie, Wapumbavu ninyi, na wewe mwashambwa acha kulamba matakuu ya huyo mama yenu Yezebali, muuaji wa watanganyika. Mmeambiwa haukuwa uchaguzi ule.....SADC wamewaambia wazi kuwa ule haukuwa uchaguzi, AU wameawaambia ule haukuwa uchaguzi, EAC community wameawaambia kuwa ule haukuwa uchaguzi, European union wamesema ule siyo uchaguzi, USA wamewaambia kuwa haukuwa uchaguzi bali uhuni, na sisi wananchi wa Tanzania na wananchi wa dunia nzima tumesema ule haukuwa uchaguzi. Mbona mnakazania kubadilisha uongo kuwa kweli, mkataliwa kote duniani na mbinguni wapumbavu ninyi. Mnajipa moyo tu....Eti Jemedari, jemedari gani anayeua wananchi wake. She's smelling like a fish.
 
Kuanzia sasa mpaka watu hawana tena imani na nyie na hii ndio mbaya sana

Watu watapoa mkishatoka madarakani
 
Ukipata nafasi ya kuongea naye, mkumbusheni uhai hauuzwi popote Duniani Bali UTU, UBINADAMU ni muhimu kuliko Malengo na matarajio yetu....

Asisahau, Mungu anaweza kumpa Maisha marefu mno Duniani kisha akampatia uchungu,mateso na huzuni katika uzee wake 🙏

Mungu ni wetu sote, Halali na wala hasinzii anaona yote, yatendekayo sirini na hadharani...

Mungu ibariki Tanzania 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…