Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
wAnaotoa misaada kwenye hz nchi inabid wajitafakar,haiwezekan hadi wateule wa rais wa kwenye mawilaya huko wana magari ya mil 400Imagine, mtu anakuja kwako ana shida ya milioni1 unamkopesha, kisha katika pitapita zako unaenda uwanja wa mashindano ya ndondo unakuta uliemkopesha anajinadi "kila goli litakalofungwa na timu A nalipia laki1", utawaza nini?
Magoli ya mama huwa yanawachekesha sana wakopeshaji wa hii nchi, matatizo ya huduma za kijamii yapo chungu nzima pesa zinanunua magoli!
π
Acha wivu kiredio.Izo nipesa zinazo tokana na makato katika mechi ambazo timu zinapocheza.
Ni fedha inayo rudi kwa namna ya kuhamasisha.
Anajua ata aweke milioni hamsini kwa goli bado watashindwa kupata ata goli moja
Mwambieni namdai malimbikizo ya mshaharaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelipa thamani goli la Mama analolitoa kwa timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya CAF ambapo kwa sasa Nchi yetu inawakilishwa na Simba Sc pekee kwenye Kombe la Shirikisho Afrika.
Akithibitisha ongezeko la thamani hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema, "Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, anatambua umuhimu mchezo wa marejeano dhidi ya Al Masry hivyo kwa kuongeza motisha kwa wachezaji atanunua kila goli moja kwa shilingi milioni 10"
Simba Sc inahitaji ushindi wa magoli 3-0 siku ya jumatano ili kujikatia tiketi ya kusonga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo ambayo hawajafuzu kwa muda mrefu.
ππππ10 x 10,000,000 = 100,000,000
Waarabu wakishakula goli 4 kabla ya dakika ya 60, wataloa mvua ya magoli.