Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hizo posh zina husu na waalimu wanao simamia mitihani na kusaisha? Au ni watumishi wengini wa juu zaidiHii ni kufuru atasabisha inflation balaa
Hapo Ufipa hamlipani Posho?Hakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
Pesa zipo tele,kwani tangu zianze kupigwa umewahi sikia tumetetelekaHakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
Kukopa kuna ubaya gani manka?Hakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
😁😁😁😁😁Farasi!Ona ulivyokuwa falaa
Hakuna kitu kama hicho,pesa zikiwa nyingi mtaani uchochea uzalishaji na ukuaji wa uchumi.Achana na wachumi uchwara waliosoma zamani.Hii ni kufuru atasabisha inflation balaa
Acha watumishi wa uma tule raha we vipiHakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
Kukopa ni umasikiniKukopa kuna ubaya gani manka?
Safi Sana ,pesa itakuja kuzunguka mtaani Sasa maana miaka 6 iliyopita Nchi ilikuwa ngumu kama tumetoka vitani na Russia.Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalumkwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Mzunguko wa pesa ukiongezeka una sisimua uchumi. Stimulus vs austerityHali itakuwa mbaya sana hasa kwa wadau wa maendeleo kwa Kama NGO ukiitisha kikao au kuwashirikisha serikali hiyo pesa utaitoa wapi? Je kwa hali ilivyo sijui kama tutafanya maendeleo lakini wananchi wakakwaida itabidi walipe kodi kubwa sana kugharimia OCs za serikali
Hakuna kitu kama hicho,pesa zikiwa nyingi mtaani uchochea uzalishaji na ukuaji wa uchumi.Achana na wachumi uchwara waliosoma zamani.