Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Sio mbaya ila lazima mpunguze kuzunguka Dar to Dom kila kukicha wakati ofisi zenu ziko Dom, kama kuna mtu anawahitaji atawafuata mliko sio nyinyi kila siku mko barabarani.

Kwa kusema ni same budget sawa na hii ni dalili kuwa kupunguza safari inawezekana ndio maana kwa kuongeza posho ina maana quality kuliko quantinty. Safari zenye tija tu.
 
Hali itakuwa mbaya sana hasa kwa wadau wa maendeleo kwa Kama NGO ukiitisha kikao au kuwashirikisha serikali hiyo pesa utaitoa wapi? Je kwa hali ilivyo sijui kama tutafanya maendeleo lakini wananchi wakakwaida itabidi walipe kodi kubwa sana kugharimia OCs za serikali
 
Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalumkwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.

Safi Sana ,pesa itakuja kuzunguka mtaani Sasa maana miaka 6 iliyopita Nchi ilikuwa ngumu kama tumetoka vitani na Russia.
 
Hali itakuwa mbaya sana hasa kwa wadau wa maendeleo kwa Kama NGO ukiitisha kikao au kuwashirikisha serikali hiyo pesa utaitoa wapi? Je kwa hali ilivyo sijui kama tutafanya maendeleo lakini wananchi wakakwaida itabidi walipe kodi kubwa sana kugharimia OCs za serikali
Mzunguko wa pesa ukiongezeka una sisimua uchumi. Stimulus vs austerity
 
Hakuna kitu kama hicho,pesa zikiwa nyingi mtaani uchochea uzalishaji na ukuaji wa uchumi.Achana na wachumi uchwara waliosoma zamani.

Sio kweli, vipato vinapandishwa maradufu tofauti na ukuaji wa uchumi. Ingekuwa usemavyo kweli, mataifa yangefanya kazi ya kuprint pesa maana uzalishaji ungeongezeka accordingly
 
Back
Top Bottom