Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Mbona kiwango cha juu mnajiongezea Tshs.130000 wakati ngazi za chini mnawaongezea Tshs.40000 tu?. Hata hivyo wenye mahoteli, nyumba za kulala wageni na sisi tutapandisha gharama zetu.
 
Mbona kiwango cha juu mnajiongezea Tshs.130000 wakati ngazi za chini mnawaongezea Tshs.40000 tu?. Hata hivyo wenye mahoteli, nyumba za kulala wageni na sisi tutapandisha gharama zetu.
Wameongezwa 20,000 kutoka 80,000-100,000 madereva na wahudumu viongozi 120,000-250,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…