Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Itasabisha inflation balaaKabisa, mi sielewi tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itasabisha inflation balaaKabisa, mi sielewi tu!
Mshamba wewe unataka tuanze kukopa kuwalipia posho zenu?Acha roho ya kimaskini
Mtalipwa wapuuzi nyie? watakao faidi ni mabosi tuAcha watumishi wa uma tule raha we vipi
Ndiyo ukweli utaonaHakuna kitu kama hicho,pesa zikiwa nyingi mtaani uchochea uzalishaji na ukuaji wa uchumi.Achana na wachumi uchwara waliosoma zamani.
Nakuunga mkono ni jambo jema sana!! Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe!! Mama hapa ameupiga mwingi!!! Hata kama ni kwa maandalizi ya 2025 bado ni safi sana, maana ni maandalizi yenye tija!!Ni jambo jema
Jinga wewe tutakuwa tunalipa madenu yenu kila siku huku mnalipana poshoKukopa kuna ubaya gani manka?
Tumeyumba balaaPesa zipo tele,kwani tangu zianze kupigwa umewahi sikia tumeteteleka
UWT mnalipana?Hapo Ufipa hamlipani Posho?
Kaombe kazi serikaliniJinga wewe tutakuwa tunalipa madenu yenu kila siku huku mnalipana posho
At least kuna watu wapo reasonable kama huyu.Hakuna sababu ya kupandisha posho kwa uchumi upi? washauri wake wanampotosha sn ataanza kukopa kulipa posho
awamu hii ya sita kama unaroho mbaya kama za yule mfalme basi utapata taabu sanaMshamba wewe unataka tuanze kukopa kuwalipia posho zenu?
Wameongezwa 20,000 kutoka 80,000-100,000 madereva na wahudumu viongozi 120,000-250,000Mbona kiwango cha juu mnajiongezea Tshs.130000 wakati ngazi za chini mnawaongezea Tshs.40000 tu?. Hata hivyo wenye mahoteli, nyumba za kulala wageni na sisi tutapandisha gharama zetu.
CWTUWT mnalipana?
Hii ni hatari sn sababu mbunge ataaongezewa kutoka 340,000 kwa siku mpaka 500,000+ na wakati kuna mtu mshahara wake ni 360,000 kwa mwezi na hapo kuna makatoAt least kuna watu wapo reasonable kama huyu.
Wewe upo UWT
Utakuja kuelewa baadae sanaawamu hii ya sita kama unaroho mbaya kama za yule mfalme basi utapata taabu sana
Mbuzi kama hii haiwezi elewa kitu yenyewe ni kuimba mapambio ya kusifuSafi Sana ,pesa itakuja kuzunguka mtaani Sasa maana miaka 6 iliyopita Nchi ilikuwa ngumu kama tumetoka vitani na Russia.
Na hata halipo kwenye utumishi wa umma lenyewe linasifia bila kujali kuwa hili ni bomu hatari sn kwa uchumi wetuMbuzi kama hii haiwezi elewa kitu yenyewe ni kuimba mapambio ya kusifu