Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

Kweli maisha yanatofautiana maana sisi wengine hatuna per Diem wala extra duty tunachojua Sisi ni kupigana na maisha ya mtaani usiku na mchana na maisha yanaenda
Unahisi unawazidi? Au unaongelea TGS kuna watu wanaanza kazi wanakuzunguka mara4 usikariri huijui mashirika ya Umma na Taasisi za umma mnajuaga walimu na manesi tu
 
Safari za mchongo zitashika kasi! Shamba la Bibi!
Safari hizo labda Kwa ma boss maana kila Taasisi ina bajeti yake ya hizo pesa Sasa ukifanya hovyo zikaisha huwa haziongezwi ni miayo mpaka bajeti ijayo..

Wanaoweza kufaidika hapa no viongozi wakuu wa serikali kama wanasiasa na Wakuu wa Taasisi ambao huzuru maeneo tofauti na wanajilipa ila wakifika huko waendako wanalipwa na kuandaliwa kila kitu kuanzia malazi hadi chakula..

Kwa watumishi wa kawaida ndio hadi boss akuhurumie
 
Anayeelewa mahesabu ya hiki kikokotoo atupe darasa kidogo wakuu !! Wengine tunaona hizo % hatujui zinaendaje !
 
Kweli maisha yanatofautiana maana sisi wengine hatuna per Diem wala extra duty tunachojua Sisi ni kupigana na maisha ya mtaani usiku na mchana na maisha yanaenda
Akizipata mtumishi atakupa kibarua, hela utakayomtajia atakupa kwa sababu anayo, hatolialia. Maisha tunategemeana. Mkuu acha pesa izunguke mtaani!!! Zama za yule mzee katili zimeisha.

YESU KRISTO ni BWANA.
 
Perdiem.
Tsh
250k , 220k,170k,150k
kwa Jiji

200k,180k,150,130k
kwa Manispaa

130k,120k,100k, 80k
kwa Halmashauri

Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva.

Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41]

Wastaafu kulamba 33%pensheni na monthly ya 67% kwa miaka 12.5 tu.

Habari kamili tukutane July Mosi.
hizo wamejiwekea wenyewe wakubwa kwa taasisi zile ambazo hazizalishi mnaambiwa mjilipe wenyewe kutokana na mapato yenu.cjui hayo mapato wanatoa wapi wakati hawafanyi biashara na pia hawana OC.hizo ni za mashirika ambayo wanasema yanazalisha wakati yanakusanya kodi kwa wananchi na kujilipa.
 
Back
Top Bottom