EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
Waache jamaa waongeze mzunguko wa pesaUwizi mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache jamaa waongeze mzunguko wa pesaUwizi mtupu
Pinga???Ngumu sana hii
Unahisi unawazidi? Au unaongelea TGS kuna watu wanaanza kazi wanakuzunguka mara4 usikariri huijui mashirika ya Umma na Taasisi za umma mnajuaga walimu na manesi tuKweli maisha yanatofautiana maana sisi wengine hatuna per Diem wala extra duty tunachojua Sisi ni kupigana na maisha ya mtaani usiku na mchana na maisha yanaenda
Safari za mchongo zitashika kasi! Shamba la Bibi!Hizo Safari nani atakupa kila kitu kinaishia mikoani Viongozi wenye kutoka nje ya Mkoa ndio watakula hiyo hela
Vyako vikojeJe anaye juaa ukweliii wa kuongezewa masurufu na extra duty viwango hvi atuhakikishiee.
Ndio fungu lenuKweli maisha yanatofautiana maana sisi wengine hatuna per Diem wala extra duty tunachojua Sisi ni kupigana na maisha ya mtaani usiku na mchana na maisha yanaenda
Safari hizo labda Kwa ma boss maana kila Taasisi ina bajeti yake ya hizo pesa Sasa ukifanya hovyo zikaisha huwa haziongezwi ni miayo mpaka bajeti ijayo..Safari za mchongo zitashika kasi! Shamba la Bibi!
Pambana mkuu ipo siku hautokuja kujuta kwanini haukuajiriwa serikaliniKweli maisha yanatofautiana maana sisi wengine hatuna per Diem wala extra duty tunachojua Sisi ni kupigana na maisha ya mtaani usiku na mchana na maisha yanaenda
Akizipata mtumishi atakupa kibarua, hela utakayomtajia atakupa kwa sababu anayo, hatolialia. Maisha tunategemeana. Mkuu acha pesa izunguke mtaani!!! Zama za yule mzee katili zimeisha.Kweli maisha yanatofautiana maana sisi wengine hatuna per Diem wala extra duty tunachojua Sisi ni kupigana na maisha ya mtaani usiku na mchana na maisha yanaenda
hizo wamejiwekea wenyewe wakubwa kwa taasisi zile ambazo hazizalishi mnaambiwa mjilipe wenyewe kutokana na mapato yenu.cjui hayo mapato wanatoa wapi wakati hawafanyi biashara na pia hawana OC.hizo ni za mashirika ambayo wanasema yanazalisha wakati yanakusanya kodi kwa wananchi na kujilipa.Perdiem.
Tsh
250k , 220k,170k,150k
kwa Jiji
200k,180k,150,130k
kwa Manispaa
130k,120k,100k, 80k
kwa Halmashauri
Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva.
Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41]
Wastaafu kulamba 33%pensheni na monthly ya 67% kwa miaka 12.5 tu.
Habari kamili tukutane July Mosi.
Meaning, baada ya miaka 12,5 pensheni inakoma, au?Wastaafu kulamba 33%pensheni na monthly ya 67% kwa miaka 12.5