BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
Kwanza tujiulize kipi kilianza kupanda..Gharama.za Maisha au hizi posho..amefanya jambo jema toka vita vya Urusi vianze maisha yalikuwa tight sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani mambo ya hovyo sana hivi vitu vilitakiwa viwe siri sasa hapa ndugu si wataanza kuzingua wakisikia nimesafiri kikazi da alafu wenyewe wanasisitiza tusiweke document za serikali mtandaoni while wao wanatuweka uchi hivi mbona walipandisha madaraja kimya kimya na mambo yakaendaHii ni kufuru atasabisha inflation balaa
inakua 150000 mkuuWale wa 120,000 wanakuwa 250,000
Wale wa 80,000 wanakuwa 100,000
Haya wale wa 100,000 inakuwa ngap mbona hapa papo silence?
kuku kwa mrija sio mkuuAcha watumishi wa uma tule raha we vipi
wale wa laki imekua 150 mkuu mama anaupiga mwingi kama mayeleSawa, Ila watu wa chini nyongeza Yao inasononesha. Wenzao toka 120,000 Hadi 250,000 zaidi kidogo ya mara mbili ya kiwango cha hapo awali. Wao toka shilingi 80,000 hadi 100,000 yaani wameongezewa robo tu ya kiwango cha hapo awali. Ama kweli aliyenacho...
hapa ndio mana wengi wanapata visukari wanajinoma sana
atakua ameongeza mishahara mkuu ni achievement pia manake mkimpiga mzinga mshkaji wako wa serikalini atakua anakutoa so na wewe utakua umelamba asali mkuuHuyu mama kila ushauri anaopewa anakubali tu,,, .atamaliza muda wake hakuna alichofanya...
mapagale yanafufuliwa mkuu mama anaupiga mwingiAcha watu wamalizie zile nyumba zao zilizoishia kwenye rinta na madirishani wakati wa JPM
Itafikia muda pesa za kulipa wafanyakazi zitakuwa hamna...Itabidi akakope,,.washauri wake sijui ni wakina nani?Hatari sana tusijeachwa kwenye financial crisis za hatari. Manake kama unachopata ie kutoka kwenye makusanya ya kodi na mauzo ya nje ni kidogo kulinganisha na kile unachotumia. Sio afya kwenye uchumi wa nchi
Hebu rejea maelezo ya Katibu wa Wizara husika. Ni toka 80,000 hadi 100,000.wale wa laki imekua 150 mkuu mama anaupiga mwingi kama mayele
iyo posho ya madereva na watu wa level ya certificate kuanzia diploma ni 150000 mkuu humo ndio tuna fall wengiHebu rejea maelezo ya Katibu wa Wizara husika. Ni toka 80,000 hadi 100,000.
Upuuzi mtupu....Tunataka miradi mikubwa ya maendeleo kama kipindi cha Magufuli...atakua ameongeza mishahara mkuu ni achievement pia manake mkimpiga mzinga mshkaji wako wa serikalini atakua anakutoa so na wewe utakua umelamba asali mkuu
Ukiongeza spending unaongeza inflation ndugu.. Production ndio zinachochea uchumi kukua.Uchumi utamshindaje wakati kuongeza spending manake unachochea uchumi?
JK ulimshinda? 😂😂😂😂😂
miradi anaimalizia mkuu tuwe tunakula nyama huku tunajenga sio kula maharage kila siku vibia viwili weekend sio mbaya mama anaupiga mwingiUpuuzi mtupu....Tunataka miradi mikubwa ya maendeleo kama kipindi cha Magufuli...
Huu ni unyanga'anyi mwingine.Rais Samia ameridhia marekebisho ya posho ya kujikimu ya safari za ndani ya nchi kwa Watumishi wa Umma na kiwango cha malipo ya kazi maalum kwa, ambapo kiwango cha juu kimepanda kutoka Tsh. 120,000/= hadi 250,000/= na kiwango cha chini toka Tsh. 80,000 hadi 100,000/=.
Rais Samia amebadilisha pia kiwango cha malipo cha kazi maalumu kwa ngazi ya chini kutoka 15,000 hadi Sh30,000 kwa ngazi ya kazi kutoka Sh20,000 hadi Sh40,000 na ngazi ya juu kutoka Sh30,000 hadi Sh60,000
Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.
View attachment 2240705
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro
Kabsa mkuu. Hasa wale wa legacy'sKuna michawi imechukia.
Itakuja kuonyesha uchawi wao hapa bila aibu
Wanaopata posho ni wangapi?Awamu hii ya sita watumishi wa uma watazidi kuneemeka, mambo yanazidi kufunguka
Utaproduce kama hakuna walaji 😂😂😂😂😂😂😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬..Ukiongeza spending unaongeza inflation ndugu.. Production ndio zinachochea uchumi kukua.