Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

Naomba ufafanuzi wa fungu kubwa la ustawi wa jamii kwa kuzingatia usawa wa jinsia Ths Bilioni 284. Hapa kuna mengi hatujue kwa pesa nyingi hivi

Zitto , Mwigulu Nchemba
Pesa inatolewa ikiwa imepangiwa masharti na beberu, tutarajie kupewa mzigo mwingine maalum kwa ajili ya kutetea haki za mashoga......
 
Inayojiita awamu ya 6 inakwenda kunyume kabisa na mwendazake, hii tabia ya kutukuza mabeberu imeanza lini???
 
Pesa inatolewa ikiwa imepangiwa masharti na beberu, tutarajie kupewa mzigo mwingine maalum kwa ajili ya kutetea haki za mashoga......
Ulitaka isipangiwe Ili uifanyie nini?

Unateseka ukiwa wapi? 👇

Screenshot_20220204-210915.png
 
Pesa inatolewa ikiwa imepangiwa masharti na beberu, tutarajie kupewa mzigo mwingine maalum kwa ajili ya kutetea haki za mashoga......
Mwambie maza aikatae bac kama ana jeuri hiyo...achana na kitu kinaitwa njaa ndugu.
 
Ulitaka isipangiwe Ili uifanyie nini?

Unateseka ukiwa wapi? 👇

View attachment 2123266
Elewa kwamba pesa ya beberu ina some strings attached, hii ni pamoja na kushawishi utekelezaji wa sera, mitazamo na fikra zao kimataifa nk. Kwa akili ya kuwaza kushiba makande mambo kama haya huwezi kuyajua kiundani.
 
Tukianza kulipa hayo mamikopo yeye atakuwa zake vusiwani hana habari anakula pension ya kustaafu
 
Elewa kwamba pesa ya beberu ina some strings attached, hii ni pamoja na kushawishi utekelezaji wa sera, mitazamo na fikra zao kimataifa nk. Kwa akili ya kuwaza kushiba makande mambo kama haya huwezi kuyajua kiundani.
Kwa hiyo kukiwa na strings kuna shida gani? Tuambie strings unayoona ina shida kwako na Taifa
 
Back
Top Bottom