Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

Unakopa halafu unawekeza hela zote kwenye costs centres, ambazo inabidi utumie hela tena kuendesha hizo investment kama mishahara ya walimu na kugharamia upkeep costs za shule.

Umeshajenga shule ni mafanikio makubwa wekeza sasa kwenye infrastructures zinazo fungua uchumi.

Mawaziri wanajitapa makusanyo yanaongezeka wanadhani uhodari wa TRA Magufuli kawafungulia nchi economic activities zimeongezeka na wao wanakusanya kodi leo maeneo mengine miaka sita nyuma ilikuwa makusanyo yake hafifu leo TRA wanafika.

Kazi ya kufungua nchi bado sana, sio akili kutumia hela kujiongezea costs centres zaidi.
Nchi ipi aliyofungua Mwendazake? 🤭🤭..

Hebu tueleze kama alifungua imekuaje Samia Kaja na Msemo wa kufungua Nchi?

Mbona una nongwa Sana wewe.
 
Nchi ipi aliyofungua Mwendazake? 🤭🤭..

Hebu tueleze kama alifungua imekuaje Samia Kaja na Msemo wa kufungua Nchi?

Mbona una nongwa Sana wewe.
Nchi aifunguliwi kwa maneno inafunguliwa kwa road access ya maeneo.



Kilichopelekea wawekezaji kuwekeza hapo kuna barabara inapita aipo mbali, tafuta video ya ufunguzi umsikie mkurugenzi wao.
 
Kwahiyo kiuhalisia, mpaka sasa tuna Trilioni ngapi za watu? Tumeweka nini kama collateral?

Haraka haraka, inapungua Trilioni 10 kweli? Na sisi tukikazana sana kukusanya, kwa mwaka tunaweza pata Trilioni 18 sio? Ndo kusema tushakopa zaidi ya nusu ya kipato chetu cha mwaka, hivi ule utaratibu wa ⅓ ya net pay yako ni kwa waajiriwa tu?

200s bn kwa jinsia, 97 bn kwa Pemba(Mwanza geresha, Tanga kuna kaharufu kao)

Tofauti niionayo ni kuwa, mipesa mingi inaingia, hakuna kinachoonekana kufanyika zaidi pesa inazidi kuadimika mtaani!

Ngorongoro, Chunya, Bagamoyo, .......
Mtahangaika Sana na Samia ila mjue kwamba yule ni international figure kama JK.

Ni mama wa connection na fursa na huko Duniani anajulikana Sana baada ya kufanya Kazi na mashirika ya Kimataifa.

Afu hapo kuna msaada nyie mnasema mkopo hivi mna matatizo gani?

Ikiwa mkopo wanasema ikiwa msaada wanasema,pesa yenyewe ni kiduchu kutumika kwa miaka 5 ijayo inakuaje mkopo?

Zamani wakati wa MCC Tulikuwa tunapata hadi dola za us mil.700 zilitusaidia kujenga barabara na umeme kabla Mwendazake hajavuruga mambo.
 
Nchi aifunguliwi kwa maneno inafunguliwa kwa road access.
Huna ulijualo zaidi ya kuropoka hapa,tatizo lenu mnashinda kwenye pono..Mambo iko hivi on ground 👇

Screenshot_20220216-221830.png


Screenshot_20220215-201543.png


Screenshot_20220214-210229.png


Screenshot_20220211-211916.png


Screenshot_20220211-081822.png


Screenshot_20220210-225821.png


Screenshot_20220210-223456.png


Screenshot_20220208-125829.png


Screenshot_20220204-210915.png


Screenshot_20220204-212430.png


Screenshot_20220203-154307.png
 
Pesa inatolewa ikiwa imepangiwa masharti na beberu, tutarajie kupewa mzigo mwingine maalum kwa ajili ya kutetea haki za mashoga......

Kwani hawa mashoga waliopo sasa ni kutokana na mkopo upi?
 
Ukitembeza bakuli Ili kukusaidia kujikwamua kuna shida? Kwani usipotembeza ndio inaondoa ukweli kwamba wewe ni maskini?
Au tujiwekee tozo, tufanye maendeleo yetu wenyewe!? Eti msaada, there is no free lunch! Mtakuja pigwa mnada🤔!
 
Katika vitu vya kijinga ambavyo Magufuli alituachia ni hivi miradi inaendeshwa kwa kodi za wananchi anayesemwa kafanya ni Magufuli Tanzania imepewa misaada anayesemwa ni Samia kuwa kapewa misaada utafikri anapeleka nyumbani kwake ambako hawezi kuhojiwa hata kama atatumia vibaya kwa kuwa ni zake.
 
Hiyo nzuri.
Ila kichwa kingekuwa RAIS SAMIA SULUHU APOKEA MSAADA au TANZANIA YAPATA MSAADA.
Ukisema Rais Samia apata msaada ni kama mali yake binafsi
 
Afrika bado safarinni ndefu sana. Umasikini na utumwa wa fikra. Sio kwa wasio enda shule wala ma professor wote almost mentality ni sawa.
Kuna kitu gani cha kujivunia au kufurahia kupata misaada kutoka Ulaya ikiwa nchi imejaliwa kila aina ya utajiri?

Omba omba!
 


Wengine hao hiyo ndio ☝️maana ya kufungua nchi na kukuza uchumi.

Access ya kufikia bidhaa na masoko kwanza. Sio hiyo mipicha uliyo save kwenye simu yako kutwa unairudia.

Kesho utasifia tu mapato yameongezeka mama hooray halafu unaacha watu waliotengeneza mazingira ya mapato kukuwa.

Uchumi ni science ya tabia, jenga watakuja.

Wapenda ligi ya ubishi kama we jamaa ni wakuwaacha tu.

Wasikilize hao suppliers wa matunda Dar kitu gani kilichowafanya kuingia mkataba na wakulima Lushoto, jibu lako barabara iliyojengwa access ndio inafungua nchi sio kusafiri kwenda n’gambo.
 
MSAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAADA.MAMA YAO WATU HUYO NA BAKULI LA CHUMA. wanae wanashangilia. Wasomi wa kiafrika ni kama pedi zilizochacha.
 
Kipindi gani Tanzania ilikuwa haifurahii misaada? Tulikwa tunawaomba mpaka waafrika wenzetu (africa ya kusini na morroco)
Huu mchezo wa kuomba omba mwisho tutapokea mahari bila kujua kwa ajili ya maza
 
Back
Top Bottom