Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

Chuki iko wapi hapi..kwani huoni kinachoendelea..shida wengi hampendi kusikia ukweli..siku ukisikia umeme..maji..huduma za afya na mengineyo vikitolewa bure yanatokea zenji..usikasirike ni hii migao ya mikopo yenu watanganyika na hatulipu mana hatanyinyi mnajua hatuna uwezi huo ila sisi ni kupe kwenu...kupitia koti ya muungano.

Ngoja tuendelee kubonyeza kizenji.
Mdebwedo kutokea huku mchamba wima.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona TRA ipo mpaka zenji
 
Hatupaswi kuukomesha?
Ni mtihani mzito kwani anayeendeleza utumwa anaweza kuwa ni huyo huyo anayetoa msaada. Huu ni mfumo walioushindwa kina Nyerere na Mwinyi, Samia ameukuta.

Nyerere alijitia kiburi akazunguka dunia nzima kutafuta pesa na akazikosa. Mwinyi alipoingia ikulu akakutana na kitu kinaitwa SAP, kilichotugharimu mpaka leo hii kuanzia 1985.
 
Kwa hiyo tuukubali utumwa?
 
Kwa hiyo tuukubali utumwa?
Kwa maana ya kuvalishana minyororo shingoni kama mababu zetu haiwezi kukubalika. Maisha ya kiuchumi ni vita, wakati tunapokea misaada tunaendelea kusomesha wasomi wengi na kutafuta namna za kujitegemea.
 
Not in this world. Forget about free as of free.

Chochote unachoambiwa ni msaada inabidi ukisome uone masharti.

Unaweza ukaambiwa ulale nje uumwe na mbu ili muuziwe madawa ya malaria
Wewe umeona hawajasoma? Masharti ya covid ni transparency na kutumia pesa kwenye covid related activities sio kujenga madaraja sasa kuna shida?

Ukipewa pesa za social services wewe zako weka kwenye infrastructure shida iko wapi?
 
Kwa maana ya kuvalishana minyororo shingoni kama mababu zetu haiwezi kukubalika. Maisha ya kiuchumi ni vita, wakati tunapokea misaada tunaendelea kusomesha wasomi wengi na kutafuta namna za kujitegemea.
Dah,mkuu utumwa wa leo,sio ule wa minyororo,na hauwezi kurudi,those are bygones.Utumwa wa leo ni high tech through mind control;soft power and psychological/social engineering.

Ila yes,lazima tutafute mbinu za kuanza kujitegemea.To me haingii akilini kwamba 50yrs plus after independence,bado tunachekelea mikopo na hata grants.We must be smart,hakuna free lunch.
 
Mtahangaika Sana na Samia ila mjue kwamba yule ni international figure kama JK.

Ni mama wa connection na fursa na huko Duniani anajulikana Sana baada ya kufanya Kazi na mashirika ya Kimataifa.

Afu hapo kuna msaada nyie mnasema mkopo hivi mna matatizo gani?

Ikiwa mkopo wanasema ikiwa msaada wanasema,pesa yenyewe ni kiduchu kutumika kwa miaka 5 ijayo inakuaje mkopo?

Zamani wakati wa MCC Tulikuwa tunapata hadi dola za us mil.700 zilitusaidia kujenga barabara na umeme kabla Mwendazake hajavuruga mambo.
Unamanisha baada ya Magufuri balabala pamoja na umeme havikusambazwa kwa kukosa hizo ela?Akuna nchi wala kaya iliyofanikiwa kutoka katika umasikini kwa misaada na mikopo,mikopo/misaada yenyewe itaishia kwenye matumbo ya watu, maana msimamizi mwenyewe 😷ngoja tuone miaka mitatu iliyobaki.
 
Hamnaga cha bure , masharti yake yakoje?

Halafu matumizi yake yanachekesha kama sio kuumiza, usawa wa kijinsia bilioni 284, ndio mradi gani huo na upoje, hata ukifanyika au usipofanyika tutapima vipi? Na hiyo green cities ndio inakuwaje? Tutapima vipi kama umefanyika au haujafanyika? Na hiyo ustawi wa jamii nduo inakuwaje, mnakuja kutupa pesa za mahari au? Hii miradi nani huwa anaipa kipaumbele?
 
Useless,Ulaya sio China kwamba utatumia pesa utakavyo.

Wewe Hadi saizi umetia tumboni kiasi gani cha pesa za misaada na mikopo?

Huo ujinga kamsimulie Mkeo ndio atakuelewa.

Chini ya yule dhalimu.kasi ilipungua kiasi kwamba eti miaka 6 mnajenga vituo vya afya belowa 80,,Ona hapa kwa mama ni over 200 kwa mpigo na Mwaka hata haujaisha.👇

Screenshot_20220209-083411.png
 
Hamnaga cha bure , masharti yake yakoje?

Halafu matumizi yake yanachekesha kama sio kuumiza, usawa wa kijinsia bilioni 284, ndio mradi gani huo na upoje, hata ukifanyika au usipofanyika tutapima vipi? Na hiyo green cities ndio inakuwaje? Tutapima vipi kama umefanyika au haujafanyika? Na hiyo ustawi wa jamii nduo inakuwaje, mnakuja kutupa pesa za mahari au? Hii miradi nani huwa anaipa kipaumbele?
Kwa hiyo kama hakuna cha bure,kipi ambacho hakina masharti?

Ukiacha hizo za msaada ,kuna zingine hizi hapa zimefunguliwa baada ya kuzuiwa wakati wa Jiwe,tunaenda hivi 👇

Screenshot_20220219-155350.png

Screenshot_20220219-155439.png

Screenshot_20220219-155416.png
 
Unamanisha baada ya Magufuri balabala pamoja na umeme havikusambazwa kwa kukosa hizo ela?Akuna nchi wala kaya iliyofanikiwa kutoka katika umasikini kwa misaada na mikopo,mikopo/misaada yenyewe itaishia kwenye matumbo ya watu, maana msimamizi mwenyewe 😷ngoja tuone miaka mitatu iliyobaki.
Wanao tamka "l" badala ya "r" nawaelewa ila mpaka kwenye kuandika hiyo ni shida
 
Back
Top Bottom