Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Utumwa ulianza tangu awamu ya Julius Nyerere leo tupo ya sita na unaendelea.Mithali 22:7 Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utumwa ulianza tangu awamu ya Julius Nyerere leo tupo ya sita na unaendelea.Mithali 22:7 Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
Mbona TRA ipo mpaka zenjiChuki iko wapi hapi..kwani huoni kinachoendelea..shida wengi hampendi kusikia ukweli..siku ukisikia umeme..maji..huduma za afya na mengineyo vikitolewa bure yanatokea zenji..usikasirike ni hii migao ya mikopo yenu watanganyika na hatulipu mana hatanyinyi mnajua hatuna uwezi huo ila sisi ni kupe kwenu...kupitia koti ya muungano.
Ngoja tuendelee kubonyeza kizenji.
Mdebwedo kutokea huku mchamba wima.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani noti zikija anazigawa misikitini?Ndugu yetu huyu katika imani, au sio?
Ipo ila hela hazivuki maji..kama nchi moja kuna haja gani ya kuwepo zra na tra wakati mmoja.Mbona TRA ipo mpaka zenji
Hatupaswi kuukomesha?Utumwa ulianza tangu awamu ya Julius Nyerere leo tupo ya sita na unaendelea.
Ni mtihani mzito kwani anayeendeleza utumwa anaweza kuwa ni huyo huyo anayetoa msaada. Huu ni mfumo walioushindwa kina Nyerere na Mwinyi, Samia ameukuta.Hatupaswi kuukomesha?
Kwa hiyo tuukubali utumwa?Ni mtihani mzito kwani anayeendeleza utumwa anaweza kuwa ni huyo huyo anayetoa msaada. Huu ni mfumo walioushindwa kina Nyerere na Mwinyi, Samia ameukuta.
Nyerere alijitia kiburi akazunguka dunia nzima kutafuta pesa na akazikosa. Mwinyi alipoingia ikulu akakutana na kitu kinaitwa SAP, kilichotugharimu mpaka leo hii kuanzia 1985.
Kwa maana ya kuvalishana minyororo shingoni kama mababu zetu haiwezi kukubalika. Maisha ya kiuchumi ni vita, wakati tunapokea misaada tunaendelea kusomesha wasomi wengi na kutafuta namna za kujitegemea.Kwa hiyo tuukubali utumwa?
Wewe umeona hawajasoma? Masharti ya covid ni transparency na kutumia pesa kwenye covid related activities sio kujenga madaraja sasa kuna shida?Not in this world. Forget about free as of free.
Chochote unachoambiwa ni msaada inabidi ukisome uone masharti.
Unaweza ukaambiwa ulale nje uumwe na mbu ili muuziwe madawa ya malaria
Dah,mkuu utumwa wa leo,sio ule wa minyororo,na hauwezi kurudi,those are bygones.Utumwa wa leo ni high tech through mind control;soft power and psychological/social engineering.Kwa maana ya kuvalishana minyororo shingoni kama mababu zetu haiwezi kukubalika. Maisha ya kiuchumi ni vita, wakati tunapokea misaada tunaendelea kusomesha wasomi wengi na kutafuta namna za kujitegemea.
Inaitwa TRA hivyo hivyoIpo ila hela hazivuki maji..kama nchi moja kuna haja gani ya kuwepo zra na tra wakati mmoja.
#MaendeleoHayanaChama
Wala mimi sijasema hayoKwani noti zikija anazigawa misikitini?
Pesa TRA kisiwani hubaki kisiwaniInaitwa TRA hivyo hivyo
Sijui haya mambo siwezi bisha broPesa TRA kisiwani hubaki kisiwani
Unamanisha baada ya Magufuri balabala pamoja na umeme havikusambazwa kwa kukosa hizo ela?Akuna nchi wala kaya iliyofanikiwa kutoka katika umasikini kwa misaada na mikopo,mikopo/misaada yenyewe itaishia kwenye matumbo ya watu, maana msimamizi mwenyewe 😷ngoja tuone miaka mitatu iliyobaki.Mtahangaika Sana na Samia ila mjue kwamba yule ni international figure kama JK.
Ni mama wa connection na fursa na huko Duniani anajulikana Sana baada ya kufanya Kazi na mashirika ya Kimataifa.
Afu hapo kuna msaada nyie mnasema mkopo hivi mna matatizo gani?
Ikiwa mkopo wanasema ikiwa msaada wanasema,pesa yenyewe ni kiduchu kutumika kwa miaka 5 ijayo inakuaje mkopo?
Zamani wakati wa MCC Tulikuwa tunapata hadi dola za us mil.700 zilitusaidia kujenga barabara na umeme kabla Mwendazake hajavuruga mambo.
Useless,Ulaya sio China kwamba utatumia pesa utakavyo.Unamanisha baada ya Magufuri balabala pamoja na umeme havikusambazwa kwa kukosa hizo ela?Akuna nchi wala kaya iliyofanikiwa kutoka katika umasikini kwa misaada na mikopo,mikopo/misaada yenyewe itaishia kwenye matumbo ya watu, maana msimamizi mwenyewe 😷ngoja tuone miaka mitatu iliyobaki.
Kwa hiyo kama hakuna cha bure,kipi ambacho hakina masharti?Hamnaga cha bure , masharti yake yakoje?
Halafu matumizi yake yanachekesha kama sio kuumiza, usawa wa kijinsia bilioni 284, ndio mradi gani huo na upoje, hata ukifanyika au usipofanyika tutapima vipi? Na hiyo green cities ndio inakuwaje? Tutapima vipi kama umefanyika au haujafanyika? Na hiyo ustawi wa jamii nduo inakuwaje, mnakuja kutupa pesa za mahari au? Hii miradi nani huwa anaipa kipaumbele?
Wanao tamka "l" badala ya "r" nawaelewa ila mpaka kwenye kuandika hiyo ni shidaUnamanisha baada ya Magufuri balabala pamoja na umeme havikusambazwa kwa kukosa hizo ela?Akuna nchi wala kaya iliyofanikiwa kutoka katika umasikini kwa misaada na mikopo,mikopo/misaada yenyewe itaishia kwenye matumbo ya watu, maana msimamizi mwenyewe 😷ngoja tuone miaka mitatu iliyobaki.