Mpe hongera kwa kujua kuomba. Naona anaomba vizuri!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe hongera kwa kujua kuomba. Naona anaomba vizuri!!
Kuna wakati nashindwa kuelewa kama baadhi ya wanachama wa JF ni watu au konokono? Kwani kuwa ombaomba ni sifa nzuri?Kwa hiyo kama hakuna cha bure,kipi ambacho hakina masharti?
Ukiacha hizo za msaada ,kuna zingine hizi hapa zimefunguliwa baada ya kuzuiwa wakati wa Jiwe,tunaenda hivi 👇
View attachment 2124006
View attachment 2124007
View attachment 2124008
Nadhani unashindwa kuelewa tofauti ya kuwa omba omba na kupewa msaada kwa sababu tuu wewe ni maskini.Kuna wakati nashindwa kuelewa kama baadhi ya wanachama wa JF ni watu au konokono? Kwani kuwa ombaomba ni sifa nzuri?
Ndio ,zama za dhuluma zimeisha.Kwasasa hakuna press ambayo haitaji mgawanyo wa fedha kwenda Pemba au Unguja ni lazima wapate fedha inayotolewa yaani ni lazima.
Siri ipi hiyo? Huelewi Nimekwambia mchanganuo wa miradi ndio utauona kwenye bajeti.
Misaada iko ya namna nyingi,unaweza pewa pesa,vifaa au miradi directly..Misaada haihitaji kwenda Bungeni ila ina utaratibu wake wa usimamizi na reporting.Wewe ndiyo huelewi wakitoa pesa wanakuwa wamesha list miradi kabisa na ndiyo maana nauliza. Hii haiendi bungeni! Waziri wa fedha sasa hivi anatakiwa ajue hii pesa inaenda wapi yaani level ya pili ya list. Ndiyo maana nimemuomba Mwigulu wewe kama huna ni bora unyamaze
Misaada iko ya namna nyingi,unaweza pewa pesa,vifaa au miradi directly..Misaada haihitaji kwenda Bungeni ila ina utaratibu wake wa usimamizi na reporting.
Mikopo au ile misaada inaitwa budgetary support lazima iende Bungeni, kwani hujaona juzi Bunge limepitisha nyongeza ya bajeti ya mkopo wa til.1.3 wa covid?.
Wizara ya fedha kuna vitengo vya kufuatilia hizo pesa.Afu nyingi ya hizi pesa zitaanza kitolewa fy year ijayo.
Why?!Unafurahia misaada kweli? Nchi yenye rasilimali kama yetu ni ujuha kufurahia misaada.
Huu mgao unaokwenda serikali ya mapinduzi haukuwa ukienda wakati wa uongozi wa hayati JPM?. Umeanza kwenda baada ya SSH kuingia ikulu?.Kwasasa hakuna press ambayo haitaji mgawanyo wa fedha kwenda Pemba au Unguja ni lazima wapate fedha inayotolewa yaani ni lazima.
Acha ushamba, Hizo ni hela zetu wanaturudishia,Hivi tutaendelea kusaidiwa mpaka lini huu si ulemavu jamani
Mama Yuko vizuri,si mtu wa makuu,anayakosha mabeberu , Mungu Ni mwema siku zote.
Piga kazi mama,tuko pamoja na wewe.
Zanzibar isisahaulikeHuu mzigo si mchezo,
TZS 677BL msaada toka Ufaransa
TZS 1.15BL msaada toka EU
JUMLA KUU 1.92TRILIONI,
#MAMA SAFIRI HATA KILA SIKU TU,
tunastahili Oscar nomination ya kuwa ombaomba
Bila ya picha na lisu angerudi mikono mitupu huku, hamshukuru sana lisu kumkubalia kupiga nae picha .
Sawa tuu kuna shida gani?tunastahili Oscar nomination ya kuwa ombaomba