Rais Samia apata msaada wa fedha jumla ya shilingi trilioni 1.15 toka EU

Kwasasa hakuna press ambayo haitaji mgawanyo wa fedha kwenda Pemba au Unguja ni lazima wapate fedha inayotolewa yaani ni lazima.
 
Kuna wakati nashindwa kuelewa kama baadhi ya wanachama wa JF ni watu au konokono? Kwani kuwa ombaomba ni sifa nzuri?
Nadhani unashindwa kuelewa tofauti ya kuwa omba omba na kupewa msaada kwa sababu tuu wewe ni maskini.

Kwamba ukisaidiwa wakati una uhitaji ni kuwa omba omba? By the way kuomba kwa Nchi ni faida.
 
Siri ipi hiyo? Huelewi Nimekwambia mchanganuo wa miradi ndio utauona kwenye bajeti.

Wewe ndiyo huelewi wakitoa pesa wanakuwa wamesha list miradi kabisa na ndiyo maana nauliza. Hii haiendi bungeni! Waziri wa fedha sasa hivi anatakiwa ajue hii pesa inaenda wapi yaani level ya pili ya list. Ndiyo maana nimemuomba Mwigulu wewe kama huna ni bora unyamaze
 
Misaada iko ya namna nyingi,unaweza pewa pesa,vifaa au miradi directly..Misaada haihitaji kwenda Bungeni ila ina utaratibu wake wa usimamizi na reporting.

Mikopo au ile misaada inaitwa budgetary support lazima iende Bungeni, kwani hujaona juzi Bunge limepitisha nyongeza ya bajeti ya mkopo wa til.1.3 wa covid?.

Wizara ya fedha kuna vitengo vya kufuatilia hizo pesa.Afu nyingi ya hizi pesa zitaanza kitolewa fy year ijayo.
 
Ndugu hujanielewa waachie walio nielewa wanijibu. Mambo unayosema yote tuna yafahamu tayari
 
Zanzibar tunapata ngapi hapo kwenye mgao wetu? Sasa Ni jino kwa jino yakhe..
 
Kwasasa hakuna press ambayo haitaji mgawanyo wa fedha kwenda Pemba au Unguja ni lazima wapate fedha inayotolewa yaani ni lazima.
Huu mgao unaokwenda serikali ya mapinduzi haukuwa ukienda wakati wa uongozi wa hayati JPM?. Umeanza kwenda baada ya SSH kuingia ikulu?.
 
Bila ya picha na lisu angerudi mikono mitupu huku, hamshukuru sana lisu kumkubalia kupiga nae picha .

Chefuuu, hiyo picha na lisu kapiga nae juzi na tayari hela zilikuwa zishatoka. Af acha kujisahaulisha lisu ndio aliomba kukutana na Madam President na kuanza kuomba mambo kwa mslahi yake na sio chama [emoji23]
 
Back
Top Bottom