KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Alhamdullilahh Mama Samia👏🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri wakati wa utekelezaji wa bajeti utajua.Naomba ufafanuzi wa fungu kubwa la ustawi wa jamii kwa kuzingatia usawa wa jinsia Ths Bilioni 284. Hapa kuna mengi hatujui kwa pesa nyingi hivi. Naomba plan za ukweli sio uzushi au ushabiki.
Zitto , Mwigulu Nchemba
Ila mkuu hii kazi ya kujibu kila post, kila comment mbona ni ngumu sana, unawezaje?
Kama wewe unaweza kupost kila jukwaa mimi nashindwa vipi sasa kujibu? Wewe umeona nimeshindwa?Ila mkuu hii kazi ya kujibu kila post, kila comment mbona ni ngumu sana, unawezaje?
Mbona jazba, nimeuliza kwa nia nzuri tu. Vipi ni free free au kuna miamala inahusika?Kama wewe unaweza kupost kila jukwaa mimi nashindwa vipi sasa kujibu? Wewe umeona nimeshindwa?
Unao uwezo wa kuzibadilisha hizo rasrimali (natural resources) kuwa fedha?Unafurahia misaada kweli? Nchi yenye rasilimali kama yetu ni ujuha kufurahia misaada.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama kwenye kusaka noti na connection yuko vizuri sana.
Hongera kwake [emoji116]
View attachment 2123229
View attachment 2123230
Inakuwa kama hujui kuwa bajeti yetu ya kila mwaka hutegemea misaada na mikopo kwa almost 35%. Katika hali hii utasemaje unacho wewe? Hapana, HUNA na si aibu kusema huna ili usaidiwe na baadaye ujifunze kusimama na kujitegemea mwenyewe..!!Mkuu, Ni aibu na Ni dhambi kuomba kitu,au msaada kwa kile ulicho na uwezo nacho, mwisho wa kunukuu..[emoji30][emoji102]
Rais wao anaonewa wivu na wengi wetu huku bara. Na watapiga hatua sana miaka hii minne ya Mwinyi.Watalipa watanganyika..wazenji hudumu bure mpaka ndani tumeanza na kuondoa gharama za kuunganisha umeme..mwendo wa kubonyeza kizenji tu.
Huyu raisi huku hatakiwi kukosolewa? Akikosolewa anaonewa wivu?Rais wao anaonewa wivu na wengi wetu huku bara. Na watapiga hatua sana miaka hii minne ya Mwinyi.
Hakuna binadamu anayeweza kuishi kama kisiwa halafu akafanikiwa. JPM aliyekuwa akisema nchi hii ni tajiri majukwaani lakini akishuka anamtuma Dotto James aende akakae na hao hao wazungu ili aombe pesa.Inayojiita awamu ya 6 inakwenda kunyume kabisa na mwendazake, hii tabia ya kutukuza mabeberu imeanza lini???
Unaweza ukawa unakosoa huku unaumia ndani ya nafsi yako. Unakosoa huku gubu linakusumbua.Huyu raisi huku hatakiwi kukosolewa? Akikosolewa anaonewa wivu?
Nyerere alikoselewa
Mwinyi alikosolewa
mkapa alikosolewa
Kikwete alikosolewa
Magufuli alikosolewa
Yeye ni nani asikosolewe?
Maneno yako na matusi hayatobadilisha kitu mkuu hukupaswa kuongea au kutoa maneno ya namna hiyo. Kwa msomi ambae kweli ameenda shule kamwe hawezi kua na fikra ulizonazo.Hili nalo omba omba, ndio shida ya kuwapa uongoz watu waliokulia mazingira ya uvivu na kutegemea bahati ya kuomba omba.
Kama Taifa analitia aibu, ni vile tu haoni, maana wanaomfadhiri ndio huona.
Hiyo nchi inayowapa hizo fedha sio kwamba wao matajiri saana kiasi kwamba kwao kwa wananchi wanaotoa kodi zao, Hakuna umasikini, masikini wapo ambao wangepaswa kupokea hizo fedha, lkn chaajabu unapewa bure mtindiga na mnyasa wa afrika bara masikini wa akili na fikra, yaan eti unasaidiwa bure??
Buree ya nyooko, soon mtakuja zitapika hizo fedha kupita maajenda ya kishenz na kulazimishwa kukubali mawazo ya hao mabwana, maana umekula chao bure.
Tegemeeni ushoga,usagaji, haki za kipuuz za wanawake& watoto,uwepo wa magonjwa ya ajabu ajabu, ndoa za jinsia moja, wawekezaji uchwara, mikataba mibovu, kurindima Tz maana hayo yote hulenga kuboresha mahusiano baina ya Tz na hao mabwana, sas mnazan wao mahusiano na nchi kama hii watawahusisha kwa lipi zaid ya uwizi wa resources na kuleta tabia za hovyoView attachment 2123351
Huu ni mradi upi?Usawa wa kijinsia Bil 284
Siri ipi hiyo? Huelewi Nimekwambia mchanganuo wa miradi ndio utauona kwenye bajeti.Kwani kuna siri gani details zote zipo kwenye msaada