Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mithali 22:7 Tajiri humtawala maskini, Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
MkopoHuu mzigo si mchezo,
TZS 677BL msaada toka Ufaransa
TZS 1.15BL msaada toka EU
JUMLA KUU 1.92TRILIONI,
#MAMA SAFIRI HATA KILA SIKU TU,
Mama kwenye kusaka noti na connection yuko vizuri sana.Huu mzigo si mchezo,
TZS 677BL msaada toka Ufaransa
TZS 1.15BL msaada toka EU
JUMLA KUU 1.92TRILIONI,
#MAMA SAFIRI HATA KILA SIKU TU,
Loan! Cha msingi noti zijeMama kwenye kusaka noti na connection yuko vizuri sana.
Hongera kwake 👇
View attachment 2123229
View attachment 2123230
Kuna miradi mingi hapo hasa ya kuwalenga wanawake na mabinti kama ujenzi wa zile shule maalumu za mabinti kila mkoa.Usawa wa kijinsia Bil 284
Humo kuna msaada na loan.Bado mzigo mwingine utatua kutoka kwa Hawa hapa 👇Loan! Cha msingi noti zije
Ana ushawishi na alishawahi kusema kwamba hajui msamiati wa kushindwa.Mama Yuko vizuri,si mtu wa makuu,anayakosha mabeberu , Mungu Ni mwema siku zote.
Piga kazi mama,tuko pamoja na wewe.
Yes,mkuuMapesa yote hayo kwa ajili ya decoration…
Siyo mabeberu tena eeh!?
Mkuu, Ni aibu na Ni dhambi kuomba kitu,au msaada kwa kile ulicho na uwezo nacho, mwisho wa kunukuu..[emoji30][emoji102]Huu mzigo si mchezo,
TZS 677BL msaada toka Ufaransa
TZS 1.15BL msaada toka EU
JUMLA KUU 1.92TRILIONI,
#MAMA SAFIRI HATA KILA SIKU TU,