Mimi nasoma coment sukuma gang nawafananisha na waumini wa zumaridi
 
"Pumbavu stupid"!!!!

Aiseh!!!?

Bas sawa!!

mshauri tu inatosha ,Huwa anasoma humu jamvini!

Mungu ibariki Tanzania
 
Ati 'Sukuma gang'
Hakuna kitu kama hicho Tanzania.

Mlegee kwenye utumizi wake.

Uhalifu ni Uhalifu tu.

Msitake kutugawanya. Mfyuuuuuuu
 
Hakuwa akijua wezi wa tanzania wasivyo na soni wala haya ya uso.
Mbongo ana uwezo wa hata kuiba mafuta ya gari ya rais wakiwa katika msafara mikoani.
Kwamba yeye ni mgeni hapa nchini ndio kwanza amewasili ?
 
Kaka kwa waliowahi fuga mbuzi wanaelewa
Tena ikitokea zimekatika wanakula adi kwenye mashamba ya wanyonge
Daaah alafu wanyonge hawajui hata wanataka nini na wafanye nini.
Mashamba yanaliwa wapogo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…