zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nmecomment kwa title ya Uzi. Otherwise ufisadi CCM upo miaka yote hata JK na JPM akiwemo ufisadi Kila siku ulikuepo kwenye ripoti ya CAG. So mtajuana wenyewe na wananchi hiyo 2025 wakiwazomea majukwaani kama 2015.Ndio hiki hiki ndio ulichokiona kwenye report nzima?
Tatizo ni mfumo mbovu wa miaka mingi wa CCM. Tuvunje mfumo huu kwanza!Ninadhani labda Mh. Rais angevunja baraza la mawaziri maana idara zilizo chini ya wizara wamefanya mafyongo
CAG amesema hata serikali wanafanya manunuzi hawadai risiti. Mpaka hapo serikali inaongea isichokitendaTatizo ni mfumo mbovu wa miaka mingi wa CCM. Tuvunje mfumo huu kwanza!
Huna uzalendo wewe mzandiki , hapa jema liko wapi ?Ni jambo jema
Wachambue ni ya kwao? Mvuruge wenyewe mlaumu wengine. PumbavuTuone kama walamba asali Mbowe, Lisu, Zito Kabwe wataichambua hii report ya CAG maana imejaa ufisadi tupu na ucheleweshaji wa miradi.
NyooChama Kikuu cha upinzani Chadema kimepata Hati Safi kama ilivyo kwa CCM
Nawapongeza wote
Msalimie Sugu hapo DesderiaHuna uzalendo wewe mzandiki , hapa jema liko wapi ?
Haya sasa kumekuchaRais Samia wakati anapokea report ya CAG ya mwaka 2023 amesema Tanzania imeporomoka kwenye asilimia za kupambana na rushwa kutoka 53% za mwaka juzi hadi 45% mwaka huu hivyo amewataka watanzania kukaza buti.
Wanajichunguza wao kwa waoNa wao pccb huwa wanachunguzwa na nani?