Rais Samia apokea simu ya Salim Kikeke aahidi kufanyia kazi yanayosemwa mitandaoni, aahidi taifa lenye umoja

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,446
Reaction score
3,319
Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.

"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."

Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo
insha Allah."

Screenshot_20250610-200223.png
 
View attachment 3363515
Kikeke ni nani ndani ya nchii hii hadi asikilizwe yeye kati ya watu mil 60+?
 
Back
Top Bottom