Wana mchezo wa kutengeneza tatizo, baadaye wanalimaliza na sisi kama mazuzu tunashangilia.#NoreformsNoelection ndio mtindo wa kisasa, hayo mengine mtajuana wenyewe. Kama ni of record kuna haja gani ya kuweka wazi mazungumzo yenu ya faragha hadharani - Salumu Kikeke?😎
That's what they are going to do. Futa kesi fake ya Lissu...