johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Jimbo la MaponjoroNimeelewa "nakuja kuwania jimbo"
Karibu sana mh.mbunge mtarajiwe salim kikekee.
But huku Tz mwaka huu hatutapiga kura.
NRNE
Jimbo la MaponjoroNimeelewa "nakuja kuwania jimbo"
Karibu sana mh.mbunge mtarajiwe salim kikekee.
But huku Tz mwaka huu hatutapiga kura.
NRNE
Kikeke ni nani ndani ya nchii hii hadi asikilizwe yeye kati ya watu mil 60+?
Magu hakuchukiwa na majority kiasi hiki. Huyu anachukiwa na majority na hamna kaz anapiga juu ya ufisadi na mali asili za taifa hiliBora hata JPM alichukiwa ila alikua kuna mambo alipiga kazi. Sasa huyu anachukiwa huku hamna analofanya!!
She's sadly the worst president in the history of Tanzania, If not East Africa!!
labda ni vile mwanamke pia wanaume wengi hawapendi kuongozwa na mwanamke kiutamaduni hili ni tusi kubwa kwa mwanaume..Imagine Samia anachukiwa kuliko Magufuli tena kwa miles maelfu...What a bad luck!
Orwellian doublespeak.While it is off record yet its public beheld
Kwani hii taarifa nje ya taarifa rasmi ina maanisha nini?? Ni huko huko unakosemea wewe, ila hii inatumika kama yeye sio sehemu ya madhila yanayotokea, Bali ni mtoa tiba.Watarusha taulo tuu, bimkubwa wenu halali huyo anapigwa kila engo.
Atasanda tuu Bimkubwa wenu huyo.
Terribly wrong!at least I know she means well for the country.
Unamkubali wewe na familia yakoMama tunamkubali sana as long as ni raisi wetu, lakin tunajiskia furaha tukifanya hivyo kutoka mioyini mwetu kila mmoja kulingana na mtazamo na sababu zake za kumkubali.
Lakin sio kama tuliowekwa chini ya ulinzi kwamba kumpenda na kumsifiaa ni amri sio ombi.
All of the best kwake ktk harakati za kutuhudumia watz.