Kwa namna anavyoongoza safina, Kila mtu yakiwemo matahila wanaona wanaweza na wanataka kuingia katika vinyang'anyilo...😄. Ajitafakari tu huko alipo, wanaotaka kuwania nafasi wanajua kuna kula rushwa, kuna kujilimbikizia mali, kuna kuiba mali ya serikali na unalindwa na jeshi Hili hili hata CAG apendeleze vipi hauadhibiwi 😂, kuna kudanganya hata kwa boss wako...kiufupi huwajibiki kwa chochote na lolote. Wengi wanaotaka kuwania uongozi kupitia ccm wanaamini hayo,wanajua pia hawatatekwa wanajihakikishia ulinzi daima kupitia jeshi letu...dhurma zinawafanya kuweza Kila jambo. Haya ndiyo yamewajaa vichwani na kutiwa tamaa ya kugombea