Rais Samia apokea simu ya Salim Kikeke aahidi kufanyia kazi yanayosemwa mitandaoni, aahidi taifa lenye umoja

While it is off record yet its public beheld
Ina maana siyo rahisi kama unavyodhani. Hapa kuna 'nipe nikupe'' au kule Buckingham wanasema quid pro quo. Bi mkubwa alishasema ' ukinikuna nitakukuna'' Leo umefahamu Kikeke ana habari za ndani, followers wanaongezeka mambo yanasonga.

JokaKuu
 
..sasa nimeelewa kwanini Salim Kikeke alikuwa akimuuliza Samia Suluhu maswali marahisi kila alipomhoji.
 
Samia is hanging on arabs . She has no one to turn to. Worst president on this globe .
 
Masela tumpoteze huyu kenge umaarufu urudi ziro bhana anacheza na akili zetu
 
Huku kwetu mpaka ufe ndio uonekane ulifanya ya maana, mama samia piga kazi,

watanzania ni wavivu, lakini pia hawana elimu, most still barbaric, but need democracy

democracy is for the sick and perishing, human animal has always been sick

hawa wanyama wanaumwa, na pia wanatia huruma, mnyama mkuu piga kazi,
wanyama hawa wamekata tamaa, wanasuburi wafe waende mbinguni, sisi wa dunia tunafurahishwa na utawala wako, maana unafanya siasa

human animal has always been human animal, tangu asimame na miguu miwili hajawahi kuacha kulalama, wanadai kusimama ni kazi, mama piga kazi, wakikutukana ua,

Hakuna moto utachomwa, achana na hawa mbwa waliochoka dunia, wengi wao wanasukumwa na dini na utanganyika katika kukupinga hawana jipya..

wale wa msimbazi walikana kisiwani sio kwao, inakuwa vipi leo wakubali uwaongoze wao,

Wanasumbuliwa na dini plus ukanda nothing else piga kazi,

Tanzania ya kisasa, Inatoka kwa Samia,
Wewe ndie mama uliyefanikiwa kuliko mama zao wote,

I need you to show greatness power and destiny,
 
Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.

"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."

Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo
insha Allah."

View attachment 3363515
Mam naye ni msanii 😂😂😂😂😂
 
Bora hata JPM alichukiwa ila alikua kuna mambo alipiga kazi. Sasa huyu anachukiwa huku hamna analofanya!!

She's sadly the worst president in the history of Tanzania, If not East Africa!!
ni kweli kwa JPM ulikuwa sawa na ule MSEMO BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA na uzuri wa JPM alikuwa achagui uwe CCM au UPINZANI ukimess na ishu zake za kiserikali kumkwamisha JUHUDI zake alikuwa anashuka na wewe
kuna machache kidogo ndio yariharibu taswira yake
 
Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.

"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."

Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo
insha Allah."

View attachment 3363515
Zillipoanza kupungua tu za ulaya akageuka kuwa chawa
 
While it is off record yet its public beheld
Kikeke mpumbavu tu

Hivi anamuonaje Raisi wetu? Kufanya kazi BBC idhaa ya kiswahili ya waswahili wa uswahilini naye anajiona matawi ya juu?
Aiseee

Idhaa ya kiswahili ni ya kuringa na kujiona yuko juu? Hopeless kabisa
 
Wewe uliwahi kuhutubia hata kijijini kwenu?Heshimu watu ngedere wewe!
 
Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.

"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."

Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo
insha Allah."

View attachment 3363515
Huyo naye anatafuta kiki ya kutokea
 
Imagine raia wa kawaida anaweza mpigia simu raisi na kuongea mustakabali wa nchi na mambo mengine sensitive ya nchi.

Anafanya hivyo akiwa nje ya nchi ‘who needs wire tapping’, unakaa hapo na wazungu wote mnamsikiliza kama anausika au la mambo ya hovyo nchini kwake.

How do you know and trust, mtu ambae kafanya kazi kwenye chombo chao cha propaganda huko kama hawezi kuwa compromised akutege uropoke.

Kuna sababu za msingi Ikulu unapowekewa ‘civil servants walioiva’, sasa sijui ‘bi-tozo’ kabwabwajq mambo gani katika hayo maongezi na vile alivyo kichwani.

Halafu tunatoka hapo tunasema nchi ina usalama imara, we are not serious people.
 
Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.

"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."

Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo
insha Allah."

View attachment 3363515
Hakuna umoja palipo na dhulma, ubadhirifu, utekaji, ufiraji, uonevu na kusingizia watu kesi hatuwezi kuwa na umoja hakuna urafiki kati ya shetani na malaika
NO REFORMA NO ELECTION
 
Back
Top Bottom