Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Au ni mtego?While it is off record yet its public beheld
Bora hata JPM alichukiwa ila alikua kuna mambo alipiga kazi. Sasa huyu anachukiwa huku hamna analofanya!!Imagine Samia anachukiwa kuliko Magufuli tena kwa miles maelfu...What a bad luck!
...no reform no erectionHatuchezi
Wanapima upepo.Au ni mtego?
Kikeke ni nani ndani ya nchii hii hadi asikilizwe yeye kati ya watu mil 60+?Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."
Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo insha Allah."
View attachment 3363515
Damage control strategy.Kikeke ni nani ndani ya nchii hii hadi asikilizwe yeye kati ya watu mil 60+?