Rais Samia apokea simu ya Salim Kikeke aahidi kufanyia kazi yanayosemwa mitandaoni, aahidi taifa lenye umoja

#NoreformsNoelection ndio mtindo wa kisasa, hayo mengine mtajuana wenyewe. Kama ni of record kuna haja gani ya kuweka wazi mazungumzo yenu ya faragha hadharani - Salumu Kikeke? 😎
Wana mchezo wa kutengeneza tatizo, baadaye wanalimaliza na sisi kama mazuzu tunashangilia.

That's what they are going to do. Futa kesi fake ya Lissu...
 
NO REFORMS, NO ELECTION!
 

Maneno tupu hayasaidii, swala hapa ni kukaa na wengine wakubaliane jinsi ya kwenda mbele. Nakwambieni tutapata shida huko mbele kama nchi itaendelea hivi. Nchi yoyote ukitanguliza polisi unakuwa unatumia nguvu kuliko kutumia akili. Hali si nzuri.
 
Kwamba utekaji umekoma?
 
The devil is in the details. Last but second sentence says it all.
 
Bi Mkubwa ndio nani?!
 
huyu abaki tu kwenye uandishi, umri wake ni mkubwa sana over 50 huko ila ana mambo ya ujana na utoto kibao. sidhani kama ana mama nyumbani wa kumshauri mambo ya utu uzima. na kugombea sijui akagombee wapi? baba yake anaishi mbeya,akapambane na tulia trust mbeya kule na sugu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…