Ina maana siyo rahisi kama unavyodhani. Hapa kuna 'nipe nikupe'' au kule Buckingham wanasema quid pro quo. Bi mkubwa alishasema ' ukinikuna nitakukuna'' Leo umefahamu Kikeke ana habari za ndani, followers wanaongezeka mambo yanasonga.While it is off record yet its public beheld
Ina maana siyo rahisi kama unavyodhani. Hapa kuna 'nipe nikupe'' au kule Buckingham wanasema quid pro quo. Bi mkubwa alishasema ' ukinikuna nitakukuna'' Leo umefahamu Kikeke ana habari za ndani, followers wanaongezeka mambo yanasonga.
JokaKuu
Mam naye ni msanii 😂😂😂😂😂Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."
Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo insha Allah."
View attachment 3363515
Unakumbuka ile interview watu waliiponda sana! sasa kila kitu kinaanza kuwa wazi...sasa nimeelewa kwanini Salim Kikeke alikuwa akimuuliza Samia Suluhu maswali marahisi kila alipomhoji.
ni kweli kwa JPM ulikuwa sawa na ule MSEMO BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA na uzuri wa JPM alikuwa achagui uwe CCM au UPINZANI ukimess na ishu zake za kiserikali kumkwamisha JUHUDI zake alikuwa anashuka na weweBora hata JPM alichukiwa ila alikua kuna mambo alipiga kazi. Sasa huyu anachukiwa huku hamna analofanya!!
She's sadly the worst president in the history of Tanzania, If not East Africa!!
Zillipoanza kupungua tu za ulaya akageuka kuwa chawaNi kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."
Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo insha Allah."
View attachment 3363515
Kikeke mpumbavu tuWhile it is off record yet its public beheld
Aache drama.Kikeke ni nani ndani ya nchii hii hadi asikilizwe yeye kati ya watu mil 60+?
Wewe uliwahi kuhutubia hata kijijini kwenu?Heshimu watu ngedere wewe!Kikeke mpumbavu tu
Hivi anamuonaje Raisi wetu? Kufanya kazi BBC idhaa ya kiswahili ya waswahili wa uswahilini naye anajiona matawi ya juu?
Aiseee
Idhaa ya kiswahili ni ya kuringa na kujiona yuko juu? Hopeless kabisa
Huyo naye anatafuta kiki ya kutokeaNi kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."
Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo insha Allah."
View attachment 3363515
Hakuna umoja palipo na dhulma, ubadhirifu, utekaji, ufiraji, uonevu na kusingizia watu kesi hatuwezi kuwa na umoja hakuna urafiki kati ya shetani na malaikaNi kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."
Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo insha Allah."
View attachment 3363515
Hayo ma mbwa ni watu wasiojulikana!
Acha binafsi nimeshangaa sana🤔Imagine Samia anachukiwa kuliko Magufuli tena kwa miles maelfu...What a bad luck!