Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,383
- 3,278
Hadi wew,kweli shetani hana rafiki.Bora hata JPM alichukiwa ila alikua kuna mambo alipiga kazi. Sasa huyu anachukiwa huku hamna analofanya!!
She's sadly the worst president in the history of Tanzania, If not East Africa!!
NimejaribuNi kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."
Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo insha Allah."
View attachment 3363515
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho sijaona unachomaanishaNi kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."
Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo insha Allah."
View attachment 3363515
BBC swahili haina tofauti TBC swahili yetu tofauti majina tu na wamilikiWewe uliwahi kuhutubia hata kijijini kwenu?Heshimu watu ngedere wewe!
Ngumu sana kusema magufuri alichukiwa. Hawa wanaotukanwa kila kona sasa na kuonenakana kumsifia huyu mama yenu ndio ambao kipindi cha magufuri walikuwa wanapiga kelele nyuma ya keyboards.Imagine Samia anachukiwa kuliko Magufuli tena kwa miles maelfu...What a bad luck!
Aki kurudia mwambie tume mchoka. Ana haribu nchi yetu.Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja."
Mengine tuliyozungumza siwezi kuyasema hapa kwa Sasa. Sina hakika hata hili kwa kulisema mitandaoni she will never pick up my phone again kwa kuweka 'off record' public lakini at least I know she means well for the country. Nikipata updates zaidi nitawajuza me Niko Bali. Sio holiday. Ila kazi. Narudi TZ soon na Nakuja kuwania Jimbo insha Allah."
View attachment 3363515
Kwani Lucas anasemaje?