Hii nchi ukipata chance wewe piga pesa na saidia CCM. overAs expected. Isingewezekana kabisa kumuimplicate Makamu waRais awa sasa ambaye ni pick ya Samia ambaye alikuwa Waziri huko mida ile. CCM ni ileile
Alifanya kosa la kiufundi kumteua kabla hajatoa tamko la uchunguzi wa Fedha.As expected. Isingewezekana kabisa kumuimplicate Makamu waRais awa sasa ambaye ni pick ya Samia ambaye alikuwa Waziri huko mida ile. CCM ni ileile
Ni ile ile tu mkuu.Alifanya kosa la kiufundi kumteua kabla hajatoa tamko la uchunguzi wa Fedha.
Jazia nyama basi, huu mtori wako ni uji mtupuRais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
Nyama zimejificha chini!Jazia nyama basi, huu mtori wako ni uji mtupu