Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

1623627160694.png

CCM na Upigaji
 
Waliotaka Ripoti hiyo.

Tuendelee kudai katiba mpya kwa ajili ya Nchi Tanzania.
 
Ktk vyama vipya vilivyopo hakuna hata kimoja chenye uhalali Wa kushika dola,yote majizi tu kama waliopo
Umenena vema mkuu,
Vyuma vyote hakuna kitu. Kumbuka CDM kiliwahi kununuliwa na Lowassa wakati fulani hadi Dr. Slaa akakimbia.

Kumbuka mgogoro wa CDM na zitto.

Haya, angalia jinsi wapinzani walivyo na bei nafuu, wote wamenunuliwa kuunga juhudi.

Leo hao ndio wanaotaka katiba kisa washinde uchaguzi tu basi, hawana agenda nzito.

Nashauri Kabla ya katiba kuwepo na somo zito la uzalendo. Kila mtu amekaa kupiga dili hii si sawa
 
Shujaa na mzalendo namba moja hakuona haya!

Utashangaa si Waziri wa Fedha wa wakati huo(Dr. Mpango) wala Katibu Mkuu wa Hazina wakati huo(Mtoto wa Dada) anaewajibika kwa kujiuzulu au kuwajibishwa na Mamlaka ya Juu yaani Rais...
Wakiaambiwa bunge ni dhaifu Wana mind Kama Nini afu ni mabunge ya Africa yote yako dhaifu.wao ni kugonga meza na kusubiria posho ringtone muamala ulie kwa simu zao
 
IMEISHA TOKA HIYO,Mh Rais kapokea Ripoti kimnya kimnya, aliyoagiza ufanyike ukaguzi hapo Benki Kuu kutoka mwezi wa Tatu mpk wa tano.
Maelekezo haya aliyatoa hadharani ila ripoti kaipokea kimnyakimnya,weee waliopo karbu wanadai kuna kijamaa kimoja ndo kilimpa TANGO poli mama paspo kufiri fasta akatuma wakaguzi.

Walah nakwambia bora ungetuma watu wengine kama akina LIPUMBA NA wengine au hata yule CAG mliyemtumbua walah hao wangekupa taarifa ulizotonywa.

Nasema hivyo kwa sababu nijajua source of information yako haijawai danganya kamwe.

Mwambie falao nimeokoka sitokwnda misir naenda na Yessuuuuuu ukimaliza kusoma imba kapambio hako ni zawadi kwako msomaji wa maandiko yanguView attachment 1836786
IMG-20210701-WA0033.jpg
 
Shujaa na mzalendo namba moja hakuona haya!

Utashangaa si Waziri wa Fedha wa wakati huo(Dr. Mpango) wala Katibu Mkuu wa Hazina wakati huo(Mtoto wa Dada) anaewajibika kwa kujiuzulu au kuwajibishwa na Mamlaka ya Juu yaani Rais.

Bunge la Ndugai halina mchango wowote katika kudhibiti ufisadi na hata katika kuisimamia serikali katika mambo kama haya(bora la Mama Makinda ingawa nalo lilikuwa rubber stamp)

Tudai tu Katiba Mpya watanzania vinginevyo tutachezewa sana na hawa Ma-CCM.
Hela zilifuata taratibu zote
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.

Maaamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tumeanza kumkumbuka baba Petrol hainunuliki.
 
Amesema kuna hela toka haz ina kuu,zimeenda taniroad na tpa kinyume na maagizo,,
Nani ameidhinisha,nani katoa na hatua zipi zitachukuliwa,au tunasamehe?
Mfugale atakuwa kafa kwa presha au stress baada ya kunyetishiwa madudu yake
 
Mbona kimyakimya wakati sio kawaida
Tatizo mama alishampa mmoja wa watuhumiwa madaraka makubwa ambayo imekuwa mtihani mkubwa kwake kufanya maamuzi magumu dhidi ya muhusika. anyway tuende hivyohivyo
 
As expected. Isingewezekana kabisa kumuimplicate Makamu waRais awa sasa ambaye ni pick ya Samia ambaye alikuwa Waziri huko mida ile. CCM ni ileile
Tatizo ni kwamba tunatengenezewa stori halafu tunahitaji kwa matarajio makubwa kuziona hizo stori zinakuwa kweli.

Ikiwa tofauti tunahisi tumepigwa.

Stori za Bashiru, Mpango na Dotto kukwapua hazina ni hekaya za Kigogo, so hakuna uthibitisho wowote kuwa ni lazima ziwe kweli.
 
Amesema kuna hela toka haz ina kuu,zimeenda taniroad na tpa kinyume na maagizo,,
Nani ameidhinisha,nani katoa na hatua zipi zitachukuliwa,au tunasamehe?
Nchi ya mazwazwa hii!!ndio imetoka hiyo,
 
Back
Top Bottom