Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

Wote ji wanaCCM. Subirini siku Sabaya atakapoachiwa kwa maelezo kuwa makosa yake siyo ya kijinai bali ni ya kiutawala na kiutendaji. Mwajiri ekwishamchukulia hatua ya kumsimamisha kazo.

CCM ni chama chenye utamaduni imara wa kulindana, labda ujifanye mkosoaji wa chama ndani ya chama.

Hakuna jipya ndani ya CCM. Sanasana, ni leo afadhali kidogo, kesho mateso kamili, keshokutwa jehanamu, siku zinaenda.
 
Tatizo mama alishampa mmoja wa watuhumiwa madaraka makubwa ambayo imekuwa mtihani mkubwa kwake kufanya maamuzi magumu dhidi ya muhusika. anyway tuende hivyohivyo
Wanatuhumiwa na nani ?

Hii nchi sijui ni lini tutakuwa serious.
 
Kwa hiyo mama alidanganywa na vyombo vyake vya ndani.
Kuna lililo nyuma ya pazia
 
IMEISHA TOKA HIYO,Mh Rais kapokea Ripoti kimnya kimnya, aliyoagiza ufanyike ukaguzi hapo Benki Kuu kutoka mwezi wa Tatu mpk wa tano.
Maelekezo haya aliyatoa hadharani ila ripoti kaipokea kimnyakimnya,weee waliopo karbu wanadai kuna kijamaa kimoja ndo kilimpa TANGO poli mama paspo kufiri fasta akatuma wakaguzi...
Dogo hebu wahi twisheni kajifunze kuandika
 
Kakonko kesi yake imefikia wapi?

Mfugale kafa yeye duh hakuna kesi

Yaani huyu kafa kwa sababu fulani

Sawa bwana Taifa la malofa na wajinga!!
Inawezekana Mfugale kwa kuwa hataweza tena kujitetea kwa hiyo hakukuwa na namna wamembebesha mzigo
 
Tatizo ni kwamba tunatengenezewa stori halafu tunahitaji kwa matarajio makubwa kuziona hizo stori zinakuwa kweli...
Una uelewa au unasukumwa ti na hisia? Hivi hujaona hapo waliposema kuna malipo yamefanyika mara 2 kwa kazi ile ile? Ujinga ni ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yote
 
Una uelewa au unasukumwa ti na hisia? Hivi hujaona hapo waliposema kuna malipo yamefanyika mara 2 kwa kazi ile ile? Ujinga ni ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yote
Naweza kuwa naongea na taahira. Soma tena nilichoandika
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.



Mama smart sana hii itampa sababu ya kuwatoa watu waliokuwa hazina ikiwa ni pamoja na katibu mkuu wa zamani wa wizara husika
 
Wote ji wanaCCM. Subirini siku Sabaya atakapoachiwa kwa maelezo kuwa makosa yake siyo ya kijinai bali ni ya kiutawala na kiutendaji. Mwajiri ekwishamchukulia hatua ya kumsimamisha kazo...
Tatizo akili zenu wote mmempa kigogo awashikie!

Kwahiyo huko chadema mlimuamini kigogo kwamba Bashiru na Mpango wamekwapua hela?
 
Shujaa na mzalendo namba moja hakuona haya!

Utashangaa si Waziri wa Fedha wa wakati huo(Dr. Mpango) wala Katibu Mkuu wa Hazina wakati huo(Mtoto wa Dada) anaewajibika kwa kujiuzulu au kuwajibishwa na Mamlaka ya Juu yaani Rais...
Acha kubwabwaja soma kiambatisho bila kukurupuka
 
Una uelewa au unasukumwa ti na hisia? Hivi hujaona hapo waliposema kuna malipo yamefanyika mara 2 kwa kazi ile ile? Ujinga ni ugonjwa mbaya kuliko magonjwa yote
Wamekwambia ni sh ngapi?
 
Chama twawala hicho na ndomana hakitaki katiba mpya!! Tunaiibia kwanza nchi ndoyaje ya katiba... Kwamba mkitengeneza katiba nchi haitojengeka itapindapinda!!! Tunachezea sana asee
 
Sasa mbona taarifa haina exact figure?
Hizo pesa zilizotoka ni shilingi ngapi?
Hii Taarifa nyepesi sana haina substance
Hakuna taarifa hapo na imekosa tension kwakuwa watu wanakosa majina ya Bashiru na Dotto na hawaoni sehemu ambapo watashikwa
 
Back
Top Bottom