Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Nani kamtaja Bashiru hapa?Tatizo akili zenu wote mmempa kigogo awashikie!
Kwahiyo huko chadema mlimuamini kigogo kwamba Bashiru na Mpango wamekwapua hela?
Report inasema kuna malipo yamefanyika mara 2 kwa kazi ile ile. Wewe umesikia kwenye report, ni nani alifanya hayo malipo? Umesikia ni nani hao waliolipwa mara 2? Kwa nini, wote wamefichwa?