Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
Kekundu kekundu...🎶🎺 nahisi Harufu ya MAGUMASHI...
Imemsafisha tayari SAIDO NTIBANZOKIZA🤣🤣🤣🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kekundu kekundu...🎶🎺 nahisi Harufu ya MAGUMASHI...
Watu wanapiga pesa taratibu tuShujaa na mzalendo namba moja hakuona haya!
Utashangaa si Gavana, Waziri wa Fedha wa wakati huo(Dr. Mpango) wala Katibu Mkuu wa Hazina wakati huo(Mtoto wa Dada) anaewajibika kwa kujiuzulu au kuwajibishwa na Mamlaka ya Juu yaani Raisi.
Bunge la Ndugai halina mchango wowote katika kudhibiti ufisadi na hata katika kuisimamia serikali katika mambo kama haya(bora la Mama Makinda ingawa nalo lilikuwa rubber stamp)
Tudai tu Katiba Mpya watanzania vinginevyo tutachezewa sana na hawa Ma-CCM.
Itifaki wakati wa ugonjwa na baada ya kifoDuh maskini Dkt Bashiru sijui ulikosea wap!!
Kwa kuwa wa tz tulisha kubali kupangika,mwendo unaelekea kuwa ni ule ule,mwendo ulioanza ulikuwa wa kutupanga na tukapangika,hivyo tuwe tayari kwa yote yatakayo jiri kwangu matumaini yanafifia kwa kasi ajabu ,sijui wenzangu.Shujaa na mzalendo namba moja hakuona haya!
Utashangaa si Gavana, Waziri wa Fedha wa wakati huo(Dr. Mpango) wala Katibu Mkuu wa Hazina wakati huo(Mtoto wa Dada) anaewajibika kwa kujiuzulu au kuwajibishwa na Mamlaka ya Juu yaani Raisi.
Bunge la Ndugai halina mchango wowote katika kudhibiti ufisadi na hata katika kuisimamia serikali katika mambo kama haya(bora la Mama Makinda ingawa nalo lilikuwa rubber stamp)
Tudai tu Katiba Mpya watanzania vinginevyo tutachezewa sana na hawa Ma-CCM.
Aluzidiwa mbele ya katibu mkuu wa wizara,, mbele ya paymaster mpya kama sikosei,Kakonko kesi yake imefikia wapi?
Mfugale kafa yeye duh hakuna kesi
Yaani huyu kafa kwa sababu fulani
Umeambiwa ni ukaguzi wa Jan - Machi 21 kulikuwa na KUB?Hata KUB mstaafu hakuyaonaga haya madudu?
Mmeumbuka kweli.....Kakonko kesi yake imefikia wapi?
Mfugale kafa yeye duh hakuna kesi
Yaani huyu kafa kwa sababu fulani
Kuna double payment,au hukusoma hiyo barua?Haka kauzi ni kama kameficha BIG PICTURE kanazungumzia miraji ya nje ya bajeti tu.
Hakuna matumizi hewa kweli??
Hakuna ukwapuaji?
Ngoja iwekwe wazi tutajua SSH hafichagi kitu
Kwani Halima Mdee ni nani?Umeambiwa ni ukaguzi wa Jan - Machi 21 kulikuwa na KUB?
Barua imeeleza mapungufu,sema mnasoma juu juu,,NOTE,, pesa zilienda ktk taasisi Tanroad,TPA kinyume cha utaratibu..Sisi wananchi wa kawaida tutaiaminije hiyo report? Tume haikuwa huru...
CCM kuwaamini inahitaji maji ya baraka.