johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbege!Wee mzee unakuaga na ujinga sana! Unavutaga mmea gani?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbege!Wee mzee unakuaga na ujinga sana! Unavutaga mmea gani?!
Iweje taarifa ya ukaguzi wa mahesabu ya mapato na matumizi ya serikali iandaliwe na kutolewa na CAG halafu serikali (iliyokaguliwa) kupitia kwa msemaji wake ndiyo itoe summary report kwa kuonesha mapungufu aliyobaini CAG...?Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
Ile habari ya watu kulipana mamilioni Machi“Tulivyoaminishwa” na nani/ nini?
Mategemeo yenu hayakutimia! Bashiru hahusiki na kashfa yoyote kama mlivyotegemea, Msifurahi mwanzoni.Duh maskini Dkt Bashiru sijui ulikosea wap!!
Unajua mimi nadhani mama alimtoa Bashiru kimakosa na bahati mbaya kabla ya uchunguzi waziri mhusika akamteua kuwa makamu wake. Daa mama anawakati mgumu sana maana watu wanaona kama Bashiru alitolewa kuwa mbuzi wa kafara.Tatizo mama alishampa mmoja wa watuhumiwa madaraka makubwa ambayo imekuwa mtihani mkubwa kwake kufanya maamuzi magumu dhidi ya muhusika. anyway tuende hivyohivyo
Pengine ndio maana jamaa alikuwa anatembea na mamilioni, ilikuwa sio ajabu akisimamishwa na mtu akapata nafasi ya kujieleza shida yake basi kupewa 10m au 5m bila accounted for haikuwa ajabu. Very primitive style of leadershipHii nchi ni zaidi ya shamba la bibi.
Imeisha HiyoBasi sawa
Wewe fala hujui karibu mkuu kiongozi ni mtu mkubwa Sana! Kenge ww!Kwani ukiwa sukumagang, lazima uandike liport badala ya report?!