WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Competition of working pamoja na friction of ideas ndiyo lengo la kuwa na vyama vya upinzani ukifeli katika chama chako kama Trump wengine wanachukua nchi kwa chama kingine kama Biden ili yule aliyeteleza na chama chake wajifunze,tupunguze hadithi za kukatishana tamaa kwa sababu ya rushwa ya chama tawala,ubabe,na hila za kila namna.Umenena vema mkuu,
Vyuma vyote hakuna kitu. Kumbuka CDM kiliwahi kununuliwa na Lowassa wakati fulani hadi Dr. Slaa akakimbia.
Kumbuka mgogoro wa CDM na zitto.
Haya, angalia jinsi wapinzani walivyo na bei nafuu, wote wamenunuliwa kuunga juhudi.
Leo hao ndio wanaotaka katiba kisa washinde uchaguzi tu basi, hawana agenda nzito.
Nashauri Kabla ya katiba kuwepo na somo zito la uzalendo. Kila mtu amekaa kupiga dili hii si sawa