Kanawe basi mkuu!nikionaGa picha za huyu bibi huwa naihurumia nchi yangu!
akina bashiru wangesikilizwa kuelekea march 17 hakika tusingekua hapa!
Ndio na tumefurahi kumwona, lazima umheshimu kiongozi wako na kumpenda
Watu wanapewa cheo cha lord ni watu wa kaliba ya juu sana! Ila kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani [emoji23]
Mlisema hayupo. Leo kaonekana mmeamia kwenye uso wakw hauko sawa🤣🤣Kuna kitu najiona hakipo sawa kwenye uso wa Samia...uso wake umepoteza Nuru kabisa ni kama mtu mwenye msongo mkubwa wa mawazo...ama alie kata tamaa...masikini mama namuonea mpaka huruma sijui Nini kina msibu
dikiteita ataleta ujumbe gani wa maanaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashirim mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Agosti, 2023.
View attachment 2708328
View attachment 2708329
View attachment 2708330
View attachment 2708331
Basi sawaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashirim mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Agosti, 2023.
View attachment 2708328
View attachment 2708329
View attachment 2708330
View attachment 2708331
Dom mbali hili ni tukio la fastaKwa nini ni Dar wakati ikulu mpya tena viwango imezinduliwa Dodoma?