Rais Samia Apokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe, Ikulu Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashirim mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Agosti, 2023.

View attachment 2708328
View attachment 2708329
View attachment 2708330

View attachment 2708331
Mama kafanana na dr Dorothy GWAJIMA
 
Kuna kitu najiona hakipo sawa kwenye uso wa Samia...uso wake umepoteza Nuru kabisa ni kama mtu mwenye msongo mkubwa wa mawazo...ama alie kata tamaa...masikini mama namuonea mpaka huruma sijui Nini kina msibu
Mtoto wa kike Uko bize na Nuru za nyuso za wanawake wenzio

No wonder we are poor
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa uliowasilishwa kwake na Waziri wa Ulinzi na Wapigania Uhuru kutoka Zimbabwe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ZANU-PF Mhe. Oppah Chamu Zvipange Muchinguri Kashirim mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Agosti, 2023.

View attachment 2708328
View attachment 2708329
View attachment 2708330

View attachment 2708331
Kwahiyo Ndege kuonekana Dubai na Saudi Arabia it was fake news !!
Kwanini tunakubali kuwa wadanganyika kiurahisi rahisi namna hii ???!!! 😱😱
 
Kwahiyo ndege lazima iwe na rais?

Kwani imekua Figo zake?
 
Unadhani nami nina huo muda? Kwenda zako huko.
Wewe ni mgonjwa hasa, kama miaka yote hiyo akili zako ni za aina hii hii..., mwenyewe unasema tokea enzi za 'hotwire'?
Utakuwa ni mgonjwa kweli kweli!

Imetosha.
 
Tafadhali usianzishe kitu ambacho huwezi kukimaliza.
 
Back
Top Bottom