Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

Hawana akili ๐Ÿšฎ wakiambiwa ukweli wanadai wanatukanwa
chukua mfano vile alivyokuwa anaongea na wamasai kwa umakini ya kwa point tupu, au mikoani kwengine alivyokuwa anaenda nao wananchi polepole akiwafafanulia namna DP WORLD ilivyo kirusi. utasema yale ni matusi? au wamekosa cha kusema, na wanaamini sasa TL ndio ataacha kuongea ukweli?
 
SEMENI YOTE ILA
KATIBA NI STAHIKI YA WATANZANIA WOTE SIYO WANASIASA TU TENA WANASIASA WA CHADEMA
 
Kwani walitaka kujibizana na Samia?
Inasikitisha sana kwamba tuna vyama vilivyojengwa kwenye vijembe na mipasho- majibizano ya simba na yanga. We can be better than that.
 
Tunakataa uwekezaji wa kitapeli DP World
 
Wamekosa hoja wanatumia ubabe
 
Kweli kabisa
Cha kuzungumza hawana
 
Hayo matusi mbona hatuyasikii zaidi ya wao kutuambia! Sugu walimkamata kwa kishindo mpaka kipazasauti kikang'oka, mwisho wa siku mahakama haikuona tusi.
Nafikiri muhimu ni kufikiria habari ya wamasai kule... jamii ile huichagua ccm na ikiondoka je, umasaini itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ