figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa adabu.
Kuna Polisi walikuwa wanajaza mafuta ya Polisi kwenye daladala zao ikaisha.
Polisi migogoro ilikuwa imeisha. Leo hii baada ya kupewa cheo cha IGP ili Jeshi la Polisi likae Vizuri eti wanamuondoa na kumpa ubalozi. Kwa hatua hii Mafisadi wanashangilia kwamba hatimaye tumemuweza. Kaganda kakomesha Rushwa.
Rais Samia ana majukumu mengi ndo maana hawezi fanya kila kitu bali ana wasaidizi wa kutosha. Wasaidizi wa rais wamemdanganya.
Suzan Kaganda bado damu Mbichi. Bado alitakiwa aendelee kutumikia wanyonge wa Nchi hii. Ubalozi wape wazee wa Nchi hii. Ni kweli Rais hakosei la anaweza kuteleza.
Hata ubalozi ni jambo jema. Lakini sisi Wanyonge unatunyang'anya Kaganda, pale Polisi pataingilika?
Tutaanza kuulizwa una appointment? Yupo kwenye Kikao, acha namba ya simu atakupigia.
Kwanini mnapenda kuona Walala hoi tunateseka? Kosa letu nini?
Kwanini Kaganda ameondolewa TPF? Kwanini?
Suzani kaganda ni mwanamama muadirifu, msomi, mwenyekupenda haki, mwenye kuona sheria inaheshimiwa, mwenye kuhitaji kufahamu wajibu wako katika kazi, ukipita alipopita, unasema Mungu asante kwa kuturetea viongozi hawa.
Rais Samia, suzana sina shaka
Camillus Mongoso Wambura ndo alitakiwa apewe Ubalozi huko Syria au Kuwait. Sababu kiuhalisia kashindwa kwenda na kasi ya Watekaji.
Unamtoa Kaganda?🤔🤔🤔
Nani alimshauri Rais hivi? Washauri wengine wanataka kumdhalilisha Rais kumbe🤔