Nilikuwa natafuta hii comment...Yani watanzania nyinyi,😂😂Alaa shemeji Awadh apewe ninj sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa natafuta hii comment...Yani watanzania nyinyi,😂😂Alaa shemeji Awadh apewe ninj sasa?
Sasa hujui kuwa shem Awadh ndiye Ijp kivuli?Nilikuwa natafuta hii comment...Yani watanzania nyinyi,😂😂
Mbona hamuweki picha yake mnaweka ya kaka yake?Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa adabu.
View attachment 3172259
Kuna Polisi walikuwa wanajaza mafuta ya Polisi kwenye daladala zao ikaisha.
Polisi migogoro ilikuwa imeisha. Leo hii baada ya kupewa cheo cha IGP ili Jeshi la Polisi likae Vizuri eti wanamuondoa na kumpa ubalozi. Kwa hatua hii Mafisadi wanashangilia kwamba hatimaye tumemuweza. Kaganda kakomesha Rushwa.
View attachment 3172266
Rais Samia ana majukumu mengi ndo maana hawezi fanya kila kitu bali ana wasaidizi wa kutosha. Wasaidizi wa rais wamemdanganya.
Suzan Kaganda bado damu Mbichi. Bado alitakiwa aendelee kutumikia wanyonge wa Nchi hii. Ubalozi wape wazee wa Nchi hii. Ni kweli Rais hakosei la anaweza kuteleza.
Hata ubalozi ni jambo jema. Lakini sisi Wanyonge unatunyang'anya Kaganda, pale Polisi pataingilika?
Tutaanza kuulizwa una appointment? Yupo kwenye Kikao, acha namba ya simu atakupigia.
Kwanini mnapenda kuona Walala hoi tunateseka? Kosa letu nini?
View attachment 3172267
Kwanini Kaganda ameondolewa TPF? Kwanini?
Suzani kaganda ni mwanamama muadirifu, msomi, mwenyekupenda haki, mwenye kuona sheria inaheshimiwa, mwenye kuhitaji kufahamu wajibu wako katika kazi, ukipita alipopita, unasema Mungu asante kwa kuturetea viongozi hawa.
Rais Samia, suzana sina shaka
Camillus Mongoso Wambura ndo alitakiwa apewe Ubalozi huko Syria au Kuwait. Sababu kiuhalisia kashindwa kwenda na kasi ya Watekaji.
Unamtoa Kaganda?🤔🤔🤔
Nani alimshauri Rais hivi? Washauri wengine wanataka kumdhalilisha Rais kumbe🤔
View attachment 3172268
Kwa nini unamuita shemeji?Sasa hujui kuwa shem Awadh ndiye Ijp kivuli?
😆😆😆😆Huyu angepewa u IGP tu
Ova
Aisee!Kuna kitu kimoja hamjang'amua..au mmeng'amua ila mmeamua tu maisha yaendelee..
Ni kwamba ...hii wama mtu ukiwa smart, brain, industrious, developing ideas kibao unazo...
Huhitajiki.. unasumbuliwasumbuliwa hadi ukome.
Awamu hii inabidi uwe mjinga mjinga fulani.
Ameoa dada wa mkuluKwa nini unamuita shemeji?
Wakubwa Wana maslahi yao, hata Sheria nyingi zinazopitishwa Bungeni ni za kulinda wakubwa na sio WanannchiHuenda anashindwa kuendana na 'Matakwa' ya 'wakubwa'
Sio kazi zote zinafaa jinsia zote. Kama ilivyokuwa Kariakoo ktk uokoaji, Kuna jinsia ilibaki ktk jukumu la admin na sio front liners.Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa adabu.
View attachment 3172259
Kuna Polisi walikuwa wanajaza mafuta ya Polisi kwenye daladala zao ikaisha.
Polisi migogoro ilikuwa imeisha. Leo hii baada ya kupewa cheo cha IGP ili Jeshi la Polisi likae Vizuri eti wanamuondoa na kumpa ubalozi. Kwa hatua hii Mafisadi wanashangilia kwamba hatimaye tumemuweza. Kaganda kakomesha Rushwa.
View attachment 3172266
Rais Samia ana majukumu mengi ndo maana hawezi fanya kila kitu bali ana wasaidizi wa kutosha. Wasaidizi wa rais wamemdanganya.
Suzan Kaganda bado damu Mbichi. Bado alitakiwa aendelee kutumikia wanyonge wa Nchi hii. Ubalozi wape wazee wa Nchi hii. Ni kweli Rais hakosei la anaweza kuteleza.
Hata ubalozi ni jambo jema. Lakini sisi Wanyonge unatunyang'anya Kaganda, pale Polisi pataingilika?
Tutaanza kuulizwa una appointment? Yupo kwenye Kikao, acha namba ya simu atakupigia.
Kwanini mnapenda kuona Walala hoi tunateseka? Kosa letu nini?
View attachment 3172267
Kwanini Kaganda ameondolewa TPF? Kwanini?
Suzani kaganda ni mwanamama muadirifu, msomi, mwenyekupenda haki, mwenye kuona sheria inaheshimiwa, mwenye kuhitaji kufahamu wajibu wako katika kazi, ukipita alipopita, unasema Mungu asante kwa kuturetea viongozi hawa.
Rais Samia, suzana sina shaka
Camillus Mongoso Wambura ndo alitakiwa apewe Ubalozi huko Syria au Kuwait. Sababu kiuhalisia kashindwa kwenda na kasi ya Watekaji.
Unamtoa Kaganda?🤔🤔🤔
Nani alimshauri Rais hivi? Washauri wengine wanataka kumdhalilisha Rais kumbe🤔
View attachment 3172268
Siungi mkono hoja. Kama huyu ndiye alikuwa mkuu wa utawala ndani ya polisi basi ni kiongozi wa hovyo. Hao Polisi walikuwa wanajiendea kuteka watu huku wamevaa kiraia wanabeba na silaha wanaenda kuua na hakuna kitu chochote kile. Polisi wengi ni walevi na wavuta bangi huko mitaani. Toka ujionee.. Ikaanzishwa polisi mgambo wanapewa na pingu hawa ndiyo wanakuwa mstari wa mbele panapotokea utekaji. Hamna kiongozi humo.naunga mkono hoja
P
Nafasi ya kuwa IGP haihitaji sifa moja tu au mbili..lkn nchi inahitaji IGP wa namna gani ili polisi ikae sawa? kwahiyo Polisi wote wewe unawajua na mwenye sifa ni Kaganda peke yake..tuwe na utamaduni wa kulist sifa za nafasi na mahitaji ya wakati na si kutaja majina..!Salaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa adabu.
View attachment 3172259
Kuna Polisi walikuwa wanajaza mafuta ya Polisi kwenye daladala zao ikaisha.
Polisi migogoro ilikuwa imeisha. Leo hii baada ya kupewa cheo cha IGP ili Jeshi la Polisi likae Vizuri eti wanamuondoa na kumpa ubalozi. Kwa hatua hii Mafisadi wanashangilia kwamba hatimaye tumemuweza. Kaganda kakomesha Rushwa.
View attachment 3172266
Rais Samia ana majukumu mengi ndo maana hawezi fanya kila kitu bali ana wasaidizi wa kutosha. Wasaidizi wa rais wamemdanganya.
Suzan Kaganda bado damu Mbichi. Bado alitakiwa aendelee kutumikia wanyonge wa Nchi hii. Ubalozi wape wazee wa Nchi hii. Ni kweli Rais hakosei la anaweza kuteleza.
Hata ubalozi ni jambo jema. Lakini sisi Wanyonge unatunyang'anya Kaganda, pale Polisi pataingilika?
Tutaanza kuulizwa una appointment? Yupo kwenye Kikao, acha namba ya simu atakupigia.
Kwanini mnapenda kuona Walala hoi tunateseka? Kosa letu nini?
View attachment 3172267
Kwanini Kaganda ameondolewa TPF? Kwanini?
Suzani kaganda ni mwanamama muadirifu, msomi, mwenyekupenda haki, mwenye kuona sheria inaheshimiwa, mwenye kuhitaji kufahamu wajibu wako katika kazi, ukipita alipopita, unasema Mungu asante kwa kuturetea viongozi hawa.
Rais Samia, suzana sina shaka
Camillus Mongoso Wambura ndo alitakiwa apewe Ubalozi huko Syria au Kuwait. Sababu kiuhalisia kashindwa kwenda na kasi ya Watekaji.
Unamtoa Kaganda?🤔🤔🤔
Nani alimshauri Rais hivi? Washauri wengine wanataka kumdhalilisha Rais kumbe🤔
View attachment 3172268
Wewe bwn hizo si sifa pekee za kuwa IGP kwa aina ya polisi waliopo na matatizo ya usalama wa raia kwa sasa, ni zaidi ya hizo sifa unataja..nchi inahitaji muundo imara wa kujaza nafasi km ya IGP bila kuanza kutaja majina..!Mimi napenda jinsi alivyo na uelewa wa Mambo. Akiwa anaongea huwezi jua kama ni Polisi wa Tanzania.. Utadhani ni Waziri Mkuu au IGP.. Sio IGP lakini ana sauti ya Mamlaka
View attachment 3172311
Nilitegema bandiko kubwa na refu saana kutoka kwako na analysis za kina.naunga mkono hoja
P
NAMPENDA SUZANA KAGANDASalaam Wakuu,
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa adabu.
View attachment 3172259
Kuna Polisi walikuwa wanajaza mafuta ya Polisi kwenye daladala zao ikaisha.
Polisi migogoro ilikuwa imeisha. Leo hii baada ya kupewa cheo cha IGP ili Jeshi la Polisi likae Vizuri eti wanamuondoa na kumpa ubalozi. Kwa hatua hii Mafisadi wanashangilia kwamba hatimaye tumemuweza. Kaganda kakomesha Rushwa.
View attachment 3172266
Rais Samia ana majukumu mengi ndo maana hawezi fanya kila kitu bali ana wasaidizi wa kutosha. Wasaidizi wa rais wamemdanganya.
Suzan Kaganda bado damu Mbichi. Bado alitakiwa aendelee kutumikia wanyonge wa Nchi hii. Ubalozi wape wazee wa Nchi hii. Ni kweli Rais hakosei la anaweza kuteleza.
Hata ubalozi ni jambo jema. Lakini sisi Wanyonge unatunyang'anya Kaganda, pale Polisi pataingilika?
Tutaanza kuulizwa una appointment? Yupo kwenye Kikao, acha namba ya simu atakupigia.
Kwanini mnapenda kuona Walala hoi tunateseka? Kosa letu nini?
View attachment 3172267
Kwanini Kaganda ameondolewa TPF? Kwanini?
Suzani kaganda ni mwanamama muadirifu, msomi, mwenyekupenda haki, mwenye kuona sheria inaheshimiwa, mwenye kuhitaji kufahamu wajibu wako katika kazi, ukipita alipopita, unasema Mungu asante kwa kuturetea viongozi hawa.
Rais Samia, suzana sina shaka
Camillus Mongoso Wambura ndo alitakiwa apewe Ubalozi huko Syria au Kuwait. Sababu kiuhalisia kashindwa kwenda na kasi ya Watekaji.
Unamtoa Kaganda?🤔🤔🤔
Nani alimshauri Rais hivi? Washauri wengine wanataka kumdhalilisha Rais kumbe🤔
View attachment 3172268
Atakuwa muadilifu ndio maana amefukuzwa kazi ambayo angebadilisha jeshi liwe linatenda haki. Anawekwa sehemu ambayo impact yake ni kiduchu.Salaam Wakuu,