Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa adabu.
Kuna Polisi walikuwa wanajaza mafuta ya Polisi kwenye daladala zao ikaisha.
Polisi migogoro ilikuwa imeisha. Leo hii baada ya kupewa cheo cha IGP ili Jeshi la Polisi likae Vizuri eti wanamuondoa na kumpa ubalozi. Kwa hatua hii Mafisadi wanashangilia kwamba hatimaye tumemuweza. Kaganda kakomesha Rushwa.
Rais Samia ana majukumu mengi ndo maana hawezi fanya kila kitu bali ana wasaidizi wa kutosha. Wasaidizi wa rais wamemdanganya.
Suzan Kaganda bado damu Mbichi. Bado alitakiwa aendelee kutumikia wanyonge wa Nchi hii. Ubalozi wape wazee wa Nchi hii. Ni kweli Rais hakosei la anaweza kuteleza.
Hata ubalozi ni jambo jema. Lakini sisi Wanyonge unatunyang'anya Kaganda, pale Polisi pataingilika?
Tutaanza kuulizwa una appointment? Yupo kwenye Kikao, acha namba ya simu atakupigia.
Suzani kaganda ni mwanamama muadirifu, msomi, mwenyekupenda haki, mwenye kuona sheria inaheshimiwa, mwenye kuhitaji kufahamu wajibu wako katika kazi, ukipita alipopita, unasema Mungu asante kwa kuturetea viongozi hawa.
Rais Samia, suzana sina shaka
Camillus Mongoso Wambura ndo alitakiwa apewe Ubalozi huko Syria au Kuwait. Sababu kiuhalisia kashindwa kwenda na kasi ya Watekaji.
Unamtoa Kaganda?🤔🤔🤔
Nani alimshauri Rais hivi? Washauri wengine wanataka kumdhalilisha Rais kumbe🤔
Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei.
Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya kuwa IGP. Ameenda amefanya kazi nzuri, amefunga Mirija yote. Polisi wastaafu walikuwa wanasikilizwa kwa adamu. View attachment 3172259
Kuna Polisi walikuwa wanajaza mafuta ya Polisi kwenye daladala zao ikaisha.
Polisi migogoro ilikuwa imeisha. Leo hii baada ya kupewa cheo cha IGP ili Jeshi la Polisi likae Vizuri eti wanamuondoa na kumpa ubalozi. Kwa hatua hii Mafisadi wanashangilia kwamba hayimaye tumemuweza. View attachment 3172266
Rais Samia ana majukumu mengi ndo maana hawezi fanya kila kitu bali ana wasaidizi wa kutosha. Wasaidizi wa rais wamwmdanganya.
Suzan Kaganda bado damu Mbichi. Bado alitakiwa aendelee kutumikia wanyonge wa Nchi hii. Ubalozi wape wazee wa Nchi hii. Ni kweli Rais hakosei la anaweza kuteleza.
Hata ubalozi ni jambo jema. Lakini sisi Wanyonge unayunyang'anya Kaganda, pale Polisi pataingilika?
Tutaanza kuulizwa una appointment? Yupo kwenye Kikao, acha namba ya simu atakupigia.
Suzani kaganda ni mwanamama muadirifu, msomi, mwenyekupenda haki, mwenye kuona sheria inaheshimiwa, mwenye kuhitaji kufahamu wajibu wako katika kazi, ukipita alipopita, unasema Mungu asante kwa kuturetea viongozi hawa.
Rais Samia, suzana sina shaka
Camillus Mongoso Wambura ndo alitakiwa apewe Ubalozi huko Syria au Kuwait. Sababu kiuhalisia kashindwa kwenda na kasi ya Watekaji.
Unamtoa Kaganda?🤔🤔🤔
Nani alimshauri Rais hivi? Washauri wengine wanataka kumdhalilisha Rais kumbe🤔 View attachment 3172268

Mimi napenda jinsi alivyo na uelewa wa Mambo. Akiwa anaongea huwezi jua kama ni Polisi wa Tanzania.. Utadhani ni Waziri Mkuu au IGP.. Sio IGP lakini ana sauti ya Mamlaka

Susan Kaganda amefanya kazi UN muda mrefu akiwa Secondment Leave,hivyo akili zake na uelewa wake wa mambo hauwezi kuwa kama Makamishna wengine huko Makao Makuu,amewazidi wote kwa IQ,nahisi kuna jambo alipishana na wakubwa wake pale HQ,ni muelewa sana