Rais Samia asante Kwa Uteuzi. Ila Suzan Kaganda kumpa Ubalozi umeteleza, anatakiwa awe IGP

Susan Kaganda amefanya kazi UN muda mrefu akiwa Secondment Leave,hivyo akili zake na uelewa wake wa mambo hauwezi kuwa kama Makamishna wengine huko Makao Makuu,amewazidi wote kwa IQ,nahisi kuna jambo alipishana na wakubwa wake pale HQ,ni muelewa sana
Amenyooka sana, hawawezi kwenda sawa.
 
Sawa afande wamekuelewa watamfikishia mama
 
Kama alivyomtoa Jely Silaa
 

Balozi maana yake ni hautakiwi🤦🏾‍♂️ anataka amweke mtu wake hawa wanakimbizwa ili aweke IGP wake. Wewe kama sio Mzanzibar utapelekwa nchi za ajabu ajabu tu. Zimbabwe walati std 7 Mzanzibar anapelekwa uarabuni au Ulaya. Mama oyee
 
Sasa kama waliomzunguka wanapenda rushwa, watampenda Kaganda? Uelekeo wa sasa ni UCHAWA zaidi?
 
Giza na nuru haviezi kuchangamana,huko kwenye vyeo ni mwendo wa kusagiana kunguni tu,ukiwa mwadilifu adi utoke.
 
Kama amefanya kazi nzuri Kwa nini utekaji umekithiri Sasa kuliko kipindi chote tangu jeshi lianzishwe?Au ni ndugu Yako unampigia promo?
Muulize IGP. Naona unataka kumpa mzigo usio wake. Kaganda ni Kamishna wa Utawala na Rasilimali Watu wa Jeshi la Polisi.
 
Kuna kitu kimoja hamjang'amua..au mmeng'amua ila mmeamua tu maisha yaendelee..

Ni kwamba ...hii wama mtu ukiwa smart, brain, industrious, developing ideas kibao unazo...

Huhitajiki.. unasumbuliwasumbuliwa hadi ukome.

Awamu hii inabidi uwe mjinga mjinga fulani.
 
Ogopa Wajinga wakiwa wengi, wanaweza kuchagua Rais!
Rais amezungukwa na wajinga wengi wanaotazama maslahi Yao badala maslahi makubwa ya umma wa watanzania! Wako kujinufaisha wo wenyewe na familia zao(ubinafsi) Ndio maana Rais akiwatuma kwenye vetting kuhusu watu Fulani wanamletea taarifa mbaya! Kaganda ni msomi mzuri na mweledi wa mambo to hold IGP post!
Watu kama kina Mwashambwa Ndio mama anatiachia!
Btw Kuondoka kwa Masauni Bado Kunaweza kusibadili mbinu za utekaji na mauaji ya wakosoaji wa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…