Rais Samia asante Kwa Uteuzi. Ila Suzan Kaganda kumpa Ubalozi umeteleza, anatakiwa awe IGP

Inawezekana unyoofu wake unaogopwa pia. Hatoweza kumsaidia kuiba uchaguzi. Kwahiyo anaweza kumficha huko kisha akishaiba uchaguzi ndio ajifanye anataka kufanya reforms kwa kumleta huyo Suzana awe IGP.
 
Her versatility attitude ndio kinashindwa kuendana na conservative rigid sops. Ila.alifaa kuwa IGP huyu mama.
 
Inawezekana unyoofu wake unaogopwa pia. Hatoweza kumsaidia kuiba uchaguzi. Kwahiyo anaweza kumficha huko kisha akishaiba uchaguzi ndio ajifanye anataka kufanya reforms kwa kumleta huyo Suzana awe IGP.
IGP ajaye ni shem wa taifa Awadh
 

Labds wewe mgeni nchiyetu, ukiwa mtenda mema hutakiwi hata kidogo,wasipokumaliza ponapona uteuzi nje ya nchi, ujinga mtupu...
 
Ukifanya kazi kwa weledi kwenye serikali hii ya waovu ya CCM kamwe hauwezi kuwa rewarded na jasho lako ulilowekeza. Utashangaa wale akina Awadh ndiyo wanakuwa ma IGP.
 
KWANI IGP SAID MWEMA ALITOKEA WAPI KABLA YA KUWA IGP....TUSUBIRIE MANA BADO NI CP
 

"The might is right always, justice for the Interest of the ruler, who will comand the commander" ???
 
Kaganda ni material!
 
Ukiulizwa kazi gani nzuri amefanya utabaki hauna jibu, zaidi ya kuja na clip 1 akiwa anaongea mambo unayo yapenda

Kweli kabisa .
Halafu wabongo wengi wako hiyo shida Sijui ujinga fulani.
Yaani Eti anamsikia mtu ameongea kwenye clip moja au mbili kwa kubahatisha mada Fulani basi wanaingia mkenge kama nyumbu kuanza kumwamini mtu na kuzani ni mtu mwenye ufahamu juu ya mambo.
Haipaswi kuwa hivyo kwa wenye uelewa mpana wa mambo .
Ili uweze kum fahamu mtu kuna mambo kadhaa ya kuzingatia.
CV yake lakini hiyo haitoshi.
Angalia mwenendo wake consistently for a sufficient reasonable period of time,
Utaweza kuona on average behavior yake na akili yake kwa ujumla.
Hata ukitaka kujua tabia ya mchumba wa kuoa usiangalie kwa kuona binti amevaa nguo ndefu ya heshima ukajua ndivyo alivyo kitabia siku zote laaaah utaingia chaka.
Wengine wanavaa hivyo kwa nadra sana na wala si mazoea yake na haitokani na utashi wake halisi.
Ktk mambo hupaswi kufanya haraka ni pamoja na ktk kutafuta kumfahamu mtu ktk Nyanja zote (tabia, competency, integrity, behavior, belief etc).
 
Kwa sababu hao wapo chini ya waziri wa mambo ya ndani.yeye ndo bosi wao.yeye ndo anaweza akasema kitu sikitaki na akasikika.
Samia alitaka ripoti ya mauaji ya mzee kibao alipelekewa?.

Kumbe TISS nao wako mambo ya ndani ?
Nilizani wana report kwa Rais moja kwa moja kama taasisi inayojitegemea?!
 
Why unampangia maana Rais hapo kishafanya mpaka vetting zake sizani kama alikurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…