Rais Samia asante Kwa Uteuzi. Ila Suzan Kaganda kumpa Ubalozi umeteleza, anatakiwa awe IGP

Mbona hamuweki picha yake mnaweka ya kaka yake?
 
Aisee!
 
Balozi siyo hadhi ndogo, ni Mwakilishi wa Rais hivyo waliopewa Ubalozi wameaminiwa. Lakini hao waliopewa Ubalozi inaweza kuwa ni kwa muda tu.. Haitashangaza kama DGIS ajaye na IGP ajaye wote wapo kwenye hii 'line-up'..
 
Sio kazi zote zinafaa jinsia zote. Kama ilivyokuwa Kariakoo ktk uokoaji, Kuna jinsia ilibaki ktk jukumu la admin na sio front liners.
 
naunga mkono hoja
P
Siungi mkono hoja. Kama huyu ndiye alikuwa mkuu wa utawala ndani ya polisi basi ni kiongozi wa hovyo. Hao Polisi walikuwa wanajiendea kuteka watu huku wamevaa kiraia wanabeba na silaha wanaenda kuua na hakuna kitu chochote kile. Polisi wengi ni walevi na wavuta bangi huko mitaani. Toka ujionee.. Ikaanzishwa polisi mgambo wanapewa na pingu hawa ndiyo wanakuwa mstari wa mbele panapotokea utekaji. Hamna kiongozi humo.

Kina Soka walipigiwa simu na hao mapolisi waende Polisi mpaka leo hawapo na mkuu wa utawala wala hafuatilii kujua lililo nyuma ya pazia. Huyu naye ni kiongozi wa hovyo kama alivyo IGP Wambura nae ni IGP wa hovyo mfumo wote hovyo kuanzia waziri aliyekuwepo. Bado IGP nae anatakiwa kuondoka.
 
Chadema bwana wanakuambia raisi kua mwanamke ni tatizo ila hapa wanadai Suzan awe IGP
 
Wala usishangae watu wa aina yake mafisadi hawamtaki na hivi unavyozidi kumsifia ndo kama unamsagia kunguni mwenzio.
Kama mwenye mamlaka akiwa na akili timamu aliruhusu wale kwa kamba zao alafu uje uwabane bane unadhani watakuacha salama?anyway tunamtakia utumishi mwema huko aendako.
 
Nafasi ya kuwa IGP haihitaji sifa moja tu au mbili..lkn nchi inahitaji IGP wa namna gani ili polisi ikae sawa? kwahiyo Polisi wote wewe unawajua na mwenye sifa ni Kaganda peke yake..tuwe na utamaduni wa kulist sifa za nafasi na mahitaji ya wakati na si kutaja majina..!
 
Mimi napenda jinsi alivyo na uelewa wa Mambo. Akiwa anaongea huwezi jua kama ni Polisi wa Tanzania.. Utadhani ni Waziri Mkuu au IGP.. Sio IGP lakini ana sauti ya Mamlaka

View attachment 3172311
Wewe bwn hizo si sifa pekee za kuwa IGP kwa aina ya polisi waliopo na matatizo ya usalama wa raia kwa sasa, ni zaidi ya hizo sifa unataja..nchi inahitaji muundo imara wa kujaza nafasi km ya IGP bila kuanza kutaja majina..!
 
NAMPENDA SUZANA KAGANDA
 
Atakuwa muadilifu ndio maana amefukuzwa kazi ambayo angebadilisha jeshi liwe linatenda haki. Anawekwa sehemu ambayo impact yake ni kiduchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…