Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao:
1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP)
2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi Luteni Jenerali MATHEW EDWARD MKINGULE, kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zambia
4. Dkt. SULEIMAN HAJI SULEIMAN kuwa Balozi



====​

Aliyoyazungumza Rais Samia katika hafla ya uapisho Ikulu, Dodoma: Asema kuna mabadiliko makubwa yanakuja
Rais amempongeza IGP aliyepita Simon Sirro kwa utumishi wake uliotukuka lakini amesema kama maisha yalivyo amelazimika kufanya uteuzi huo. Na ameahidi kutakuwa na mabadiliko mengine makubwa. pia amempongeza kwa kuteuliwa kuwa balozi.

Rais pia amempongeza IGP Wambura kwa kuteuliwa kuwa IGP na amemtaka awe muadilifu katika nafasi yake hiyo aliyoteuliwa baada ya utendaji wake kwa nafasi zilizotangulia kuonekana.

Pia Rais amewapongeza watu wengine walioapishwa.

Rais Kumekuwa na ulazima wa kufanya mabadiliko katika taasisi za haki jamii ili kuboresha suala la utawala bora.

Rais amesema amelazimika kufanya mabadiliko kwenye taasisi hizo ambapo ameanza na Jeshi la Polisi, wataiangalia TAKUKURU, Magereza na Kamishne ya dawa za kulevya ambapo wataangalia mfumo wa utendaji katika maeneo hayo ili kuboresha utendaji.

Amesema wataangalia mifumo ya upandishaji vyeo kwenye taasisi hizo. Amesema ametazama maeneo mengi watu wanakaribia kustaafu lakini mabega yako wazi kama watu walioanza ajira hivi karibuni. Na pia wataangalia mafunzo maana mtu ili apandishwe cheo ni lazima apitie mafunzo ya kitaaluma na kimadaraka.

Jambo lingine litakaloangaliwa ni mahusiano na raia na taasisi nyingine. Ili kuangalia kanuni zilizpo kwa kuwa wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa wageni.

Mwaka wa fedha 2022/23 ameongeza bajeti ya majeshi ili kuangalia stahiki na haki za maaskari. Suala lingine la kuangaliwa ni namna ya kuwaingiza watu katika ajira. Amesema maaskari wengi ukiwatizama na nidhamu yao haviendani. Na inaonekana hakuna kushindwa katika majeshi. Ambapo amesema kuna viashiria ya vyeti feki.

Amesema kutakuwa na mchujo kwenye majeshi yote ili kuwa na wataalamu mbalimbali ikiwemo wataalamu wa fedha, ICT na wataalamu wengine. Pia kuangalia masuala ya tafiti na ugunduzi ili kuwa na zana za kisasa katika majeshi kwa kuangalia mahitaji yakoje.

Mipango ya mawasiliano itaangaliwa ili kujua teknolojia inatumiakaje. Kwa sasa amenza na jeshi la polisi

Kamati ya watu 12 yaundwa.
Kamati inaongoza na Jaji Msaafu Chande Othmani na makamu wake Sefue. Rais Samia amesema ameunda kamati ili kupewa ushauri wa namna ya kuleta mabadiliko ya utendaji kazi bora. Ambapo wameanza na polisi na watampelekea taarifa ya taaisis nyingine ili kuboresha taasisi hizo.

Rais amesema kwa sasa serikali inakuja na jicho lingine kwenye masuala ya kijeshi ili kuunda majeshi imara na bora katika utendaji.
PIA, SOMA: Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Rais anaupiga kwa weledi
 
Toka maktaba :

4 March 2022

Viongozi wakuu wa vyama vya siasa Mh. Rais Suluhu Hassan mwenyekiti wa CCM na mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, wote wasisitiza haki walipokutana Ikulu jijini DSM tarehe 4 March 2022

 
Walioteuliwa awali hasa DES's wameanza kukwama.
Kumteua Kingai imetia doa la damu kwenye asemayo
 
Kumbe unadhani kwa kukosa Tako lako?

Wale wote wasiotangaza mafanikio ya Serikali Kwa wananchi wanapenda kusagwa.

Nimecheka kwa nguvu, huu mtindo wa kihuni wa kujibu unauweza, au uko kwenye majaribio? Maana nina uhakika nikichomeka flash mbovu lazima uteme ndoano.
 
Amesema kutakuwa na mchujo kwenye majeshi yote ili kuwa na wataalamu mbalimbali ikiwemo wataalamu wa fedha, ICT na wataalamu wengine. Pia kuangalia masuala ya tafiti na ugunduzi ili kuwa na zana za kisasa katika majeshi kwa kuangalia mahitaji yakoje.
Kama atalifanya hili kwa makini na utimilifu basi bila shaka mambo yatanyooka na utndaji kazi utaimarika kwenye majeshi yetu ili kuendana na mabadiliko ya kisasa
 
WADAU WA HAKI JINAI NA WALE WA HAKI ZA BINADAMU NI WENGI

Serikali na vyombo vyake ikiwemo taasisi, idara zake zifahamu kuwa mwaka huu huko Uswisi waziri wa Sheria na Katiba Mh. George Simbachawene mbele ya Umoja wa Mataifa katika Kamisheni ya Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu kuwa Tanzania iliridhia kuacha kuandamiza na kubinya haki za msingi.

Haki hizo za msingi nyingi ikiwemo hili la wananchi kuwa na haki kujadili, kushauri na kuelekeza nchi yao iende vipi.

23 March 2022

Geneva, Switzerland

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhia na inayogusa haki zote ikiwemo UWAZI ni kama ifuatayo

Video : Mh. George Simbachawene akihutubia UMoja wa Mataifa kuhusu haki haki na kuuhakikishia ulimwengu kuwa haki zote ktk awamu ya 6 zinazingatiwa



Tanzania yaridhia haki ya wananchi kushirikishwa katika ngazi zote, kujadili mustakhabali wa nchi yao, haki ya jumuika, haki ya kuzungumza, wananchi kuwa na haki ya kuwaambia watawala nini wakifanye, uhuru wa habari, kufunguliwa vya vyombo vya online pia magazeti, imeridhia mikutano ya vyama vya siasa kufanyika, , ....

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.

Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique

Welcome! | UN GENEVA › 2022/03

Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic ...

23 Mar 2022 — 23 March 2022 Meeting Summaries. The Human Rights Council in a midday meeting adopted the outcomes of the Universal Periodic ....
 
Police wa bongo wanachojua n kukagua risiti tu wamesahau kaz yao ya ulinzi na usalama kwa wananchi
 
yaani ukisikia jehannam ya duniani ni huko ulikokutaja.

yaani ukisikia machozi yetu wapi yanamwagika kwa wingi na kwa maumivu makali ni Polisi, Mahakamani na Magereza.

umefanya vizuri huyo kima kumpeleka Zimbabwe kwanaza kido Mama naaza kukuelewa kumbe kila mtu ana ubaya na uzuri wake nimeamini
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Inspekta Jenerali wa Polisi Camillus Mwongoso Wambura na aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Simon Nyakoro Sirro baada ya kiapo Ikulu, Chamwino- Dodoma leo Julai 20, 2022.
FYG_telXkAAgTJq.jpg
 
Mabadiliko makubwa tunayoyahitaji ni Samia ang'atuke kwani hatutaki Mapaka yanayohamasisha ufisadi kwenye Taifa letu.
 
Back
Top Bottom