Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kujizatiti kwa kufanya teuzi za nafasi za juu katika serikali yake ya awamu ya sita.

Ni kawaida rais anapoingia madaraka kupangua na kuweka safu mpya ya watu anaofikiria wanaweza kuwa na usaidizi wa kutekeleza yale anayoazimia .
 
Duh
 

HAKI SAWA KWA WOTE

20 August 2022

WAZIRI AAGIZA MWANAE ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA "KOSA LA USALAMA BARABARANI"


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…